Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,978
- 36,083
jitoe kabisa ili upate A+Ban niliyopewa imenisaidia kwa kiasi kikubwa kupata A na kuniwezesha kuongoza
Nasema hivi kwa sababu nilitumia muda mwingi kujiandaa kusoma kuliko kuingia humu
Asante sana kwa mod uliyenipa ban
Mtihani mwingine ukikaribia ntakushtua unipe ban nyingine
Bukheri wa afya mkuuDogo mama kijacho mzima?
siwezi kujitoa kwa sababu JFjitoe kabisa ili upate A+
Basi jitahidi usipigwe tena ban.siwezi kujitoa kwa sababu JF
Kwa kiasi kikubwa inanisaidia kujua mambo mengi
yeezus ni yeezusahaaa una akaunt ngap jf maana kuna ile ya yeezus
utoto [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Punguza utoto utoto.
sawa mkuuBasi jitahidi usipigwe tena ban.
haya kijana ila usi sup sasa maana ajira gpa ya 3yeezus ni yeezus
HR 666 ni HR 666
ubarikiwesawa mkuu
Udom siwezi soma chuo kibovu kama hiko bora nikauze maperadah wemshakaji sijui ndio kilaza wa UDOM
Sawa ila jaribu kutumia ubongo wako vyema kutafakari mambo mana unaonekana kama mtoto wa miaka 10 hivi,hicho chuo unachokidharau unajua kimekua cha ngapi?au umelishwa tu upuuzi?Udom siwezi soma chuo kibovu kama hiko bora nikauze mapera