Unatambua mipaka ya katibu mkuu kiongozi au unaongea tu?kama yeye nahao walio chini yake waliteuliwa na Rais hasingeweza kuwaondoa au kuwawajibisha bali Rais aliyewateua,msikurupuke tu,ebo!!
Nayeye uteuzi wake utenguliwe tu sababu anahusika na kila jipu linalotumbuliwa,Yeye ndio Katibu mkuu kiongozi(mkuu wa utumishi wa umma),haiwezekani makosa ya watu wa chini yake asihusike.
JPM ili kweli kuondoa hayo mapandikizi, muwajibishe Sefue.
Wale mawaziri wawili wanawake waliofukuza wakurugenzi hadharani.Tendo lile limewaathiri waliofukuzwa na familia zao kisaikologia.Wakubali au wasikubali watoto wa wale wakurugenzi watanyanyasika kwa kuitwa majipu.Ninao mfano watoto wa fulani kuitwa NGUNGUR mpaka wanamaliza std seven.