PreGE2025 Balozi Nchimbi: Maoni yoyote kuhusu amani ya Tanzania hayatapuuzwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

MANKA MUSA

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
923
Reaction score
1,101
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA.

Awahakikishia viongozi wa dini, taasisi za kijamii na kimila

Awapongeza wanawake kusimamia amani

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa maoni yoyote yanayolenga kuhakikisha Tanzania inaendelea kudumisha amani na utulivu, hayajawahi kupuuzwa na hayatapuuzwa.

Aidha, Balozi Nchimbi amemwelezea Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa ni kiongozi mwanamke ambaye uongozi wake, umeongeza heshima kubwa kwa wanawake na Tanzania, akiendeleza safari iliyoanzishwa na viongozi wengine wanawake jasiri, tangu wakati wa kudai uhuru na kuiweka Tanzania katika ramani ya dunia.

Balozi Dkt. Nchimbi amesema hayo alipokuwa akifungua Jukwaa la Wanawake wa Arusha 2025, lililowakutanisha wanawake katika kujadili maada ya ‘Safari ya Mwanamke Arusha 2025’, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), jijini Arusha, Jumanne, tarehe 24 Juni 2025.

“Hivyo ndivyo wanawake wanalitazama taifa letu (kama wanavyotazama watoto wao). Wanataka nchi yetu iendelee kuwa na amani, nchi yetu iendelee kuwa tulivu. Nataka nitumie nafasi hii, kuwahakikishia wanawake wa Tanzania, kwamba CCM inatambua dhamana yake ya kulinda amani ya nchi yetu.

“Nataka niwahakikishie viongozi wa mila, viongozi wa dini, viongozi wa taasisi za kijamii, niwahakikishie Watanzania wote, kwamba maoni yenu yanayohusu kuendeleza amani na utulivu katika nchi yetu, hatujawahi kuyapuuza kama Chama Cha Mapinduzi,” alisema Balozi Nchimbi na kuongeza;

“Na tukitambua kuwa amani ndiyo kipaumbele cha kwanza cha mwanamke wa Tanzania…akitambua kwamba kuilinda amani ni kuilinda nchi yetu, kukilinda kizazi cha sasa na kizazi kijacho, tutaendelea kuisimamia amani ya nchi yetu kwa nguvu zetu zote.”

Jukwaa hilo ambalo wazungumzaji wakuu wa mada hiyo walikuwa ni pamoja na Mama Fatma Karume, mjane wa Hayati Mzee Abeid Amani Karume, Mama Anne Makinda, Dkt. Asha-rose Migiro, Bi. Zakhia Meghji, na wanawake wengine vijana, lililenga kuzungumzia safari ya mwanamke katika nyanja mbalimbali za maisha, kisiasa, kiuchumi na kijamii nchini.

IMG-20250624-WA0484.jpg
IMG-20250624-WA0483.jpg
IMG-20250624-WA0485.jpg
 
Attachments

  • IMG-20250624-WA0482.jpg
    IMG-20250624-WA0482.jpg
    342.3 KB · Views: 14

View attachment 3381733View attachment 3381735View attachment 3381736
#NoReformsNoElection
Screenshot_20250609-200239.jpg
 
Uzuri najua mama Zetu wanaelewa kabisa mwendo ni hakuna kutiki, No reforms no election, Hapo watapokea bahasha kesho unawakuta Kilombero Sokoni wakiendelea na shughuli zao za kiuchumi wakihimizana kukusanya pesa za maboya ya CCM
 
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA.

Awahakikishia viongozi wa dini, taasisi za kijamii na kimila

Awapongeza wanawake kusimamia amani

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa maoni yoyote yanayolenga kuhakikisha Tanzania inaendelea kudumisha amani na utulivu, hayajawahi kupuuzwa na hayatapuuzwa.

Aidha, Balozi Nchimbi amemwelezea Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa ni kiongozi mwanamke ambaye uongozi wake, umeongeza heshima kubwa kwa wanawake na Tanzania, akiendeleza safari iliyoanzishwa na viongozi wengine wanawake jasiri, tangu wakati wa kudai uhuru na kuiweka Tanzania katika ramani ya dunia.

Balozi Dkt. Nchimbi amesema hayo alipokuwa akifungua Jukwaa la Wanawake wa Arusha 2025, lililowakutanisha wanawake katika kujadili maada ya ‘Safari ya Mwanamke Arusha 2025’, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), jijini Arusha, Jumanne, tarehe 24 Juni 2025.

“Hivyo ndivyo wanawake wanalitazama taifa letu (kama wanavyotazama watoto wao). Wanataka nchi yetu iendelee kuwa na amani, nchi yetu iendelee kuwa tulivu. Nataka nitumie nafasi hii, kuwahakikishia wanawake wa Tanzania, kwamba CCM inatambua dhamana yake ya kulinda amani ya nchi yetu.

“Nataka niwahakikishie viongozi wa mila, viongozi wa dini, viongozi wa taasisi za kijamii, niwahakikishie Watanzania wote, kwamba maoni yenu yanayohusu kuendeleza amani na utulivu katika nchi yetu, hatujawahi kuyapuuza kama Chama Cha Mapinduzi,” alisema Balozi Nchimbi na kuongeza;

“Na tukitambua kuwa amani ndiyo kipaumbele cha kwanza cha mwanamke wa Tanzania…akitambua kwamba kuilinda amani ni kuilinda nchi yetu, kukilinda kizazi cha sasa na kizazi kijacho, tutaendelea kuisimamia amani ya nchi yetu kwa nguvu zetu zote.”

Jukwaa hilo ambalo wazungumzaji wakuu wa mada hiyo walikuwa ni pamoja na Mama Fatma Karume, mjane wa Hayati Mzee Abeid Amani Karume, Mama Anne Makinda, Dkt. Asha-rose Migiro, Bi. Zakhia Meghji, na wanawake wengine vijana, lililenga kuzungumzia safari ya mwanamke katika nyanja mbalimbali za maisha, kisiasa, kiuchumi na kijamii nchini.

View attachment 3381733View attachment 3381735View attachment 3381736
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Wanaubili amani wao wanaficha mafisadi Lumumba pale.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Hela zao tutazila lakini tunaenda na No reform No Election kula hela zao ninsehemu yetu katika keki ya Taifa
 
Attachments

  • 20250624_191631.jpg
    20250624_191631.jpg
    63.5 KB · Views: 11
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA.

Awahakikishia viongozi wa dini, taasisi za kijamii na kimila

Awapongeza wanawake kusimamia amani

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa maoni yoyote yanayolenga kuhakikisha Tanzania inaendelea kudumisha amani na utulivu, hayajawahi kupuuzwa na hayatapuuzwa.

Aidha, Balozi Nchimbi amemwelezea Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa ni kiongozi mwanamke ambaye uongozi wake, umeongeza heshima kubwa kwa wanawake na Tanzania, akiendeleza safari iliyoanzishwa na viongozi wengine wanawake jasiri, tangu wakati wa kudai uhuru na kuiweka Tanzania katika ramani ya dunia.

Balozi Dkt. Nchimbi amesema hayo alipokuwa akifungua Jukwaa la Wanawake wa Arusha 2025, lililowakutanisha wanawake katika kujadili maada ya ‘Safari ya Mwanamke Arusha 2025’, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), jijini Arusha, Jumanne, tarehe 24 Juni 2025.

“Hivyo ndivyo wanawake wanalitazama taifa letu (kama wanavyotazama watoto wao). Wanataka nchi yetu iendelee kuwa na amani, nchi yetu iendelee kuwa tulivu. Nataka nitumie nafasi hii, kuwahakikishia wanawake wa Tanzania, kwamba CCM inatambua dhamana yake ya kulinda amani ya nchi yetu.

“Nataka niwahakikishie viongozi wa mila, viongozi wa dini, viongozi wa taasisi za kijamii, niwahakikishie Watanzania wote, kwamba maoni yenu yanayohusu kuendeleza amani na utulivu katika nchi yetu, hatujawahi kuyapuuza kama Chama Cha Mapinduzi,” alisema Balozi Nchimbi na kuongeza;

“Na tukitambua kuwa amani ndiyo kipaumbele cha kwanza cha mwanamke wa Tanzania…akitambua kwamba kuilinda amani ni kuilinda nchi yetu, kukilinda kizazi cha sasa na kizazi kijacho, tutaendelea kuisimamia amani ya nchi yetu kwa nguvu zetu zote.”

Jukwaa hilo ambalo wazungumzaji wakuu wa mada hiyo walikuwa ni pamoja na Mama Fatma Karume, mjane wa Hayati Mzee Abeid Amani Karume, Mama Anne Makinda, Dkt. Asha-rose Migiro, Bi. Zakhia Meghji, na wanawake wengine vijana, lililenga kuzungumzia safari ya mwanamke katika nyanja mbalimbali za maisha, kisiasa, kiuchumi na kijamii nchini.

View attachment 3381733View attachment 3381735View attachment 3381736
puuzeni wasanii hawa
 
Tafsiri yake kwa lugha nyepesi ni moja tu: "NO REFORM, NO ELECTION".
HURRAAAY!!!
 
“Nataka niwahakikishie viongozi wa mila, viongozi wa dini, viongozi wa taasisi za kijamii, niwahakikishie Watanzania wote, kwamba maoni yenu yanayohusu kuendeleza amani na utulivu katika nchi yetu, hatujawahi kuyapuuza kama Chama Cha Mapinduzi,” alisema Balozi Nchimbi na kuongeza;
Hakuna njia nyingine ya kutokea. Njia ni moja tu:
"NO REFORM, NO ELECTION"

Taratibu akili zimeanza kuwaingia kichwani.
Sasa lile GENGE la Samuia lililokuwa limekiteka chama liwekeni pembeni. Utekaji na uuaji wa waTanzania ukome, ili kazi ya kuitibu Tanzania ianze mara moja.

Anza sasa kujifunza kutumia neno "HAKI", usione aibu, sote tunajuwa jinsi nyote mlivyokuwa mateka wa GENGE la Samia kama sisi sote.
 
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA.

Awahakikishia viongozi wa dini, taasisi za kijamii na kimila

Awapongeza wanawake kusimamia amani

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa maoni yoyote yanayolenga kuhakikisha Tanzania inaendelea kudumisha amani na utulivu, hayajawahi kupuuzwa na hayatapuuzwa.

Aidha, Balozi Nchimbi amemwelezea Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa ni kiongozi mwanamke ambaye uongozi wake, umeongeza heshima kubwa kwa wanawake na Tanzania, akiendeleza safari iliyoanzishwa na viongozi wengine wanawake jasiri, tangu wakati wa kudai uhuru na kuiweka Tanzania katika ramani ya dunia.

Balozi Dkt. Nchimbi amesema hayo alipokuwa akifungua Jukwaa la Wanawake wa Arusha 2025, lililowakutanisha wanawake katika kujadili maada ya ‘Safari ya Mwanamke Arusha 2025’, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), jijini Arusha, Jumanne, tarehe 24 Juni 2025.

“Hivyo ndivyo wanawake wanalitazama taifa letu (kama wanavyotazama watoto wao). Wanataka nchi yetu iendelee kuwa na amani, nchi yetu iendelee kuwa tulivu. Nataka nitumie nafasi hii, kuwahakikishia wanawake wa Tanzania, kwamba CCM inatambua dhamana yake ya kulinda amani ya nchi yetu.

“Nataka niwahakikishie viongozi wa mila, viongozi wa dini, viongozi wa taasisi za kijamii, niwahakikishie Watanzania wote, kwamba maoni yenu yanayohusu kuendeleza amani na utulivu katika nchi yetu, hatujawahi kuyapuuza kama Chama Cha Mapinduzi,” alisema Balozi Nchimbi na kuongeza;

“Na tukitambua kuwa amani ndiyo kipaumbele cha kwanza cha mwanamke wa Tanzania…akitambua kwamba kuilinda amani ni kuilinda nchi yetu, kukilinda kizazi cha sasa na kizazi kijacho, tutaendelea kuisimamia amani ya nchi yetu kwa nguvu zetu zote.”

Jukwaa hilo ambalo wazungumzaji wakuu wa mada hiyo walikuwa ni pamoja na Mama Fatma Karume, mjane wa Hayati Mzee Abeid Amani Karume, Mama Anne Makinda, Dkt. Asha-rose Migiro, Bi. Zakhia Meghji, na wanawake wengine vijana, lililenga kuzungumzia safari ya mwanamke katika nyanja mbalimbali za maisha, kisiasa, kiuchumi na kijamii nchini.

View attachment 3381733View attachment 3381735View attachment 3381736
Mhh mbona Dkt Nchimbi anaongea kama ndiye mgombea Urais??? Aisee Dkt Samia sijui anawaza ninu kudhani yeye ni chura kiziwi. Yaani angekuwa anatoa kauli za matumaini kama alivyomuwa mwanzo aisee Mama angekuwa Mama kweli tofauti na sasa kila mtu anamuona Mama muuaji, Mama hajali, Mama wa Mikopo etc. mi bado naamini Dkt Samia atabadilika na issue inayoweza kumpa credit za kwanza ni kumuachia Lisu, fungulia Gwajima, fukuza IGP na Waziri mambo yatakuwa ndani etc
 
Back
Top Bottom