Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
aaaaaaahhhhhh
Jaruoooz in white house jamani mmmmmhhhhhh haya watu kutoka kogero
...anawakilisha mkuu...hata kama mahasidi hawataki!hahaaaaaaa Obama bana...
Wajaluo wamekutana aisee!
''Obama'', ''Ogego'' , "Odembo"
Anyone noticed the Oooos
Sio kwenye kiswahili.
Wewe mtanzania wa wapi ambaye hata lugha yako inakusumbua? Kama kiingereza kinavyokusumbua! Hakuna kitu kama undistributed loyalty wala forum in the whole, constitution..... name of (the) President etc etc. Devotion sio sawa na loyalty. Hii sio dini.
Go get a life, ndugu.
Amandla.......
Thanks bro, atleast you manage to put him in his place without abusing him. he's spoiling for a fight, son seems bored
Hata akitaka "Manzi" Mkikuyu atampata bila tabu!.Imajin huyo dogo atakavyo uza huko Kisumu.
Hata akitaka "Manzi" Mkikuyu atampata bila tabu!.
Heheeeee, kwani manzi wakikutyu wakoje?
Hata akitaka "Manzi" Mkikuyu atampata bila tabu!.
Heheheheehe Dogo kauza kinoma, jangoo kapiga bao hapo , totoz za Kyuks zote ata zila kiulaini. Simchezo picha na Obama halafu Home is Bethesda hapo sasa , full mauzo !