Bao lake la dakika ya 84 dhidi ya Torino limeifanya AC Milan kuizidi alama 4 Fiorentina. Fiorentina na Milan zipo vitani kugombea nafasi ya tatu ya kucheza Klabu Bingwa Barani Ulaya kwa timu za Italia. Jana,Fiorentina ilizabwa bao moja kwa bila na Roma na hivyo kupepesuka vya kutosha. Zimebaki mechi tatu... cc Gang Chomba et al
asante sana asante sana Petro E. Mselewa kwa taarifa yako hiyo inayoihusu klabu yenye mafanikio zaidi hapa Ulimwenguni yaani AC Milan.
Mengi zaidi yatafuata muda mfupi ujao
asante sana asante sana Petro E. Mselewa kwa taarifa yako hiyo inayoihusu klabu yenye mafanikio zaidi hapa Ulimwenguni yaani AC Milan.
Mengi zaidi yatafuata muda mfupi ujao