Toka nmeanza kuwajua wasichana ni miaka minne iliyopita, nililala na msichana wa kwanza miaka minne iliyopita huyo ndo kama alinionesha ulimwengu.
ila toka miaka miaka minne ambayo nmewajua wasichana, hadi leo hii nmelala na wasichana 33, wote nawakumbuka majina, na kati ya hao watano ndo sina mawasiliano nao, ila wengine tunawasiliana.
na kati ya hao, ambae bado nadate nae ni mmoja tu.