BAKWATA ni taasisi ya Serikali?

Waislamu wanapunguzwa nguvu kidogo kwa lugha nyingine watakuwa wanapewa maagizo na serikali maana kama vile bunge, mahakama, na tahasisi zingine bado sasa wakristo sijui wataongwa nini
 
Acha ajenge, after all most moselems huwa hawana uswahiba na hiyo
 
Bilioni 5 Makonda huyu wa UVCCM hapa juzi tu...kazitoa wapi? kama niwafadhili kwanini isitangazwe rasmi kuwa ni ufadhili wa.....


1. mshara wa makonda kiasi gani

2. Anafanya biashara gani

3. kama nibiashara kila mwaka analipa kodi kiasi gani

4. Nilini alianza biashara hiyo nakwamtaji gani

Hii inahitaji ufafanuzi kutoka

-Wizara ya kazi....mshara

-TRA kujuwa

a) uhalali wa hiyo biashara

b) Malipo sahihj ya kodi

c) Usajiri wa hiyo biashara
 
Whatever the essence might be kwa hiki kitu alichofanya, Mkoa bado unakabiliwa na changamoto nyingi sana za msingi.

Kwanza ni upuuzi wa karne kuijengea Bakwata jengo la Billion 5 wakati Mkoa hauna dawa za kutosha kwenye hospital zake; WASH services bado ni hohehahe; Waste disposal & sewage systems bado Dar inanuka; barabara nyingi za mitaa ndani ya Dar bado vumbi/mashimo; n.k. Otherwise labda kama hiyo 'support' ameitoa mfukoni kwake on personal basis, ama from individual wahisani under his mobilization.

Africa tutaendelea kuwa bara lenye 'giza' kwa karne nyingi sana walahi.

-Kaveli-
 
Nimegundua Mara nyingi kauli au ahadi anazotoa Makonda huwa hatoi kwa Bahati Mbaya.....

Ninaimani asilimia mia kauli Na maamuzi ya Makonda yanabaraka zote toka juu.

Nini kipo Chini ya kapeti kuhusu bilioni 5?

Ni swala la muda tu.!
 
Nimegundua Mara nyingi kauli au ahadi anazotoa Makonda huwa hatoi kwa Bahati Mbaya.....

Ninaimani asilimia mia kauli Na maamuzi ya Makonda yanabaraka zote toka juu.

Nini kipo Chini ya kapeti?

Ni swala la muda tu.!

Very very true....
Makonda anatekeleza tu order
 
Serikali yangu bana inanyanyasa watumishi wa umma kwa kuwa nyima posho wanazostahili na wengine madeni yao ya nyuma afu wanaenda kujenga tahasisi ya dini na hapo hapo tunajua kuna shule hazina madawati pia hakuna priority katika matumizi ya pesa hatufati bajeti yetu ya mwaka dah sina imani na uongozi huu , ngoja nipige beer kwanza hapa nipate usingizi
 
Nilipata kuskia kuwa Bakwata ilianzishwa na serikali, hebu aje Mohamed Said
Patience,
Hii tumeshajadili kwa kirefu sana siku za nyuma.

Ninachoweza kufanya kwa sasa ni kukuwekea hapa jamvini ''links'' ili wewe
ujisomee kwa wakati wako.

Nyingine nimefanya muhadhara na nyingine nimeandika.

Hizi ni ''series,'' kwa hiyo pitia moja baada ya nyingine kwa mpangilio hapo
chini baadhi
nimekuwekea bila kufuata mpangilio:

Mohamed Said: Historia ya Bakwata - Mtambani -Part 1
Mohamed Said: Historia ya Bakwata - Mtambani Part 2
Mohamed Said: Historia ya Bakwata Mtambani Part 3
Mohamed Said: Historia ya Bakwata Mtambani Part 4
Mohamed Said: BAKWATA SEHEMU YA KWANZA
Mohamed Said: BAKWATA SEHEMU YA TANO
Mohamed Said: BAKWATA SEHEMU YA SITA

Zinaendelea unaweza ku-search;
www.mohammedsaid.com
 
Waislamu wanapunguzwa nguvu kidogo kwa lugha nyingine watakuwa wanapewa maagizo na serikali maana kama vile bunge, mahakama, na tahasisi zingine bado sasa wakristo sijui wataongwa nini


Huku kuna wajinga wengi sana

1. Pengo

2. kilain

Tangu pombe ameanza kukanyaga katiba umesikia wakisema chochote?

eamepindwa na kupigwa plasta midomoni...raia wakinyanyasika nakatiba kunajisiwa waziwazi

Bakwata ndo nitolee hapl na hiyo ndiyo TAKRIMA unapewa kwa lengo maalum.....kurudisha fadhila, hiyo ni hongo 100%

kwanini serikali na Makonda basi

1. waombe madawati nao hela wanayo

2. wafukuze watoto wa mitaani badala ya kuwafadhiri, kuwahifadhi na kuwaendeleza

3. wafukuze ombaomba badala ya kuwahifadhi
 
Huna hekima wewe.
 
Hao waislamu hawana hela hadi wajengewe makao makuu na mkuu wa mkoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…