Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,485
- 8,667
Daah we acha tu.Hivi Sheikh mkuu kwa elimu uliuokuwa nayo una lazimiswa kabisa kutuburuza kuswali Eidlhaj Jumatano Wakati Unafahamu fika ya kwamba kesho ndio Eid Dunia Nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
FITNA IMELALA OLE WAKE ATAKEEIAMSHA.Hivi Sheikh mkuu kwa elimu uliuokuwa nayo una lazimiswa kabisa kutuburuza kuswali Eidlhaj Jumatano Wakati Unafahamu fika ya kwamba kesho ndio Eid Dunia Nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi alitoa sababu gani za kuswali Idd siku ya JumatanoHivi Sheikh mkuu kwa elimu uliuokuwa nayo una lazimiswa kabisa kutuburuza kuswali Eidlhaj Jumatano Wakati Unafahamu fika ya kwamba kesho ndio Eid Dunia Nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana walisimama Arafa?Hivi Sheikh mkuu kwa elimu uliuokuwa nayo una lazimiswa kabisa kutuburuza kuswali Eidlhaj Jumatano Wakati Unafahamu fika ya kwamba kesho ndio Eid Dunia Nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi dini nyingine pasua kichwa kwelikweli..Hivi Sheikh mkuu kwa elimu uliuokuwa nayo una lazimiswa kabisa kutuburuza kuswali Eidlhaj Jumatano Wakati Unafahamu fika ya kwamba kesho ndio Eid Dunia Nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihusishe dini zingine kwenye mgogoro wa dini yenu na serikali huo ni ushamba wa hali ya juuHuenda Mudy alikuwa tu mtu mzuri tatizo hawa wafuas wake wa nyakati hiz.
Tuandamaneni baas kuupinga huu mfumo Kristo.
Achen kumchanganya bana!
Peace be upon him
Malyenge IKIRIRI laki si pesa.
Alhamdulillah! Wengine tusha sali watajijua wafuata upepo!Hivi Sheikh mkuu kwa elimu uliuokuwa nayo una lazimiswa kabisa kutuburuza kuswali Eidlhaj Jumatano Wakati Unafahamu fika ya kwamba kesho ndio Eid Dunia Nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio uchochezi kabisa!Huenda Mudy alikuwa tu mtu mzuri tatizo hawa wafuas wake wa nyakati hiz.
Tuandamaneni baas kuupinga huu mfumo Kristo.
Achen kumchanganya bana!
Peace be upon him
Malyenge IKIRIRI laki si pesa.
Huu ndio uchochezi kabisa!
jamani kuna kitu kinaitwa religion tolerance kwanini tugombane wakati sisi sote ni ndugu wa asili kama vipi hebu tafuta wimbo mmoja wa Afande sele ft belle 9 DINI TIMELETEWA utajifunza kitu hamna haja ya sisi kulumbana kila sikuHuu ndio uchochezi kabisa!
Solution ya hii kitu ni kuwa na off public siku mbili rasmi serikali isiingilie hii kitu kwa ku support upande mmoja. wan Bakwata wacha wale Eid siku wanayotaka na wengine wale na zote zitambulike ni public holidays. Mbona Xmass tarehe 25 na 26 boxing days. pasaka almost 3 days. Eid zitambulike zote ndio heshima itapatikana. Maana ukiangalia kila siku upande wa pili wanazidi kuliko Bakwata. au wakubwa wanafurahia kuona tumegawanyika maana ni tabu kweli leo hii hata family moja wanakula Eid siku tofauti inepoteza furaha yote ya Eid tuliyokuwa tuna enjoy zamani. Kwanini wasikae ukiacha tofauti zao wakubaliana kuwa kama waislamu tuwe na Eid moja tu na kuleta win win ni kukubaliana Eid Fitr twende na mwezi na Hajj twende na Mahujaji basi tule Eid kwa furaha family zote kama zamani.duh sasa hiki kitu mbona kinakuwaga kinachanganya watu wengi sana jamani tatizo nini lakini ?