President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,526
- 94,005
Full nonsense!
Wasemavyo hahenga, masikini hasemwi na mwenye njaa hasutwi.
Leo napenda kuongelea tabia ya timu ya yanga kuwa ombaomba huku wakitembeza bakuli wachangiwe, bado lipo palepale.
Sasa limebadilishwa, linakuja kwa jina la kuchangia 29,000 kwa kila mwanachama. Hii ni dalili tosha kuonesha ukata mkubwa ulio ndani ya timu ya Yanga.
Kwa mawazo yangu GSM wameona hawa yanga hawana ubavu wa kutangaza bidhaa zao za magodoro, wameona wapige kolabo na timu zongine kama Azam fc, Namungo FC nk.
Kusema kweli tangu nizaliwe sijawahi kuona timu inadhaminia na kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa magodoro. Kama kuna mtu hapa anyoshe kidole anitajie timu nyingine tofauti na hizi za hapa Tanzania mdhamini wake anauza magodoro.
Tabia ya kuomba omba imekuwa ni jadi ya yanga, kwa sasa wamekuja na kisingizio cha kujiunga. Uanachama gani wa sh. 29,000? Hili ni bakuli la kisasa. Wameshindwa kutengeneza pesa kupitia magodoro sasa wameanza kuwanyanyasa watanzania
Yangu ni hayo tu.
Sijaona mchango wako kwenye ujenzi wa uwanja wetu wa Simba, Hebu tuma ela ya mchango kwanza Kisha ndio uje humu jf kubwabwaja
Wasemavyo hahenga, masikini hasemwi na mwenye njaa hasutwi.
Leo napenda kuongelea tabia ya timu ya yanga kuwa ombaomba huku wakitembeza bakuli wachangiwe, bado lipo palepale.
Sasa limebadilishwa, linakuja kwa jina la kuchangia 29,000 kwa kila mwanachama. Hii ni dalili tosha kuonesha ukata mkubwa ulio ndani ya timu ya Yanga.
Kwa mawazo yangu GSM wameona hawa yanga hawana ubavu wa kutangaza bidhaa zao za magodoro, wameona wapige kolabo na timu zongine kama Azam fc, Namungo FC nk.
Kusema kweli tangu nizaliwe sijawahi kuona timu inadhaminia na kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa magodoro. Kama kuna mtu hapa anyoshe kidole anitajie timu nyingine tofauti na hizi za hapa Tanzania mdhamini wake anauza magodoro.
Tabia ya kuomba omba imekuwa ni jadi ya yanga, kwa sasa wamekuja na kisingizio cha kujiunga. Uanachama gani wa sh. 29,000? Hili ni bakuli la kisasa. Wameshindwa kutengeneza pesa kupitia magodoro sasa wameanza kuwanyanyasa watanzania
Yangu ni hayo tu.
Hovyo sana tena.Yanga ni hovyo sana
Simba wanajenga uwanja. Hiyo 29,000 ni kwaajili ya nini!?Sijaona mchango wako kwenye ujenzi wa uwanja wetu wa Simba, Hebu tuma ela ya mchango kwanza Kisha ndio uje humu jf kubwabwaja
29,000 kwa ajili ya Chiko,Aucho na mayele ili wasilete mchecheto wa kutaka kutoka na magodoro wameloeka majiSimba wanajenga uwanja. Hiyo 29,000 ni kwaajili ya nini!?
Kumbe ni hivyo. Basi Yanga ni timu ya washamba. Simba wanachanga kwa maendeleo wao wanachangisha ili wasiloweke magodoro. 🤣🤣🤣29,000 kwa ajili ya Chiko,Aucho na mayele ili wasilete mchecheto wa kutaka kutoka na magodoro wameloeka maji
Swali, je umetoa mchango wa ujenzi wa uwanja?Simba wanajenga uwanja. Hiyo 29,000 ni kwaajili ya nini!?
Mzee unataka vitu vyangu private niviweke hapa. Bakuli la yanga ni public issue.Swali, je umetoa mchango wa ujenzi wa uwanja?
Ujenzi wa uwanja Simba ni public issue, tunaomba mchango wako, changia Simba kwa mafanikio ya SimbaMzee unataka vitu vyangu private niviweke hapa. Bakuli la yanga ni public issue.
WalibwinoMakolo mulibwanji[emoji38][emoji38]
Ushakua kama mbwa koko unaokoteza vistory visivyo na miguu wala kichwa
Wasemavyo hahenga, masikini hasemwi na mwenye njaa hasutwi.
Leo napenda kuongelea tabia ya timu ya yanga kuwa ombaomba huku wakitembeza bakuli wachangiwe, bado lipo palepale.
Sasa limebadilishwa, linakuja kwa jina la kuchangia 29,000 kwa kila mwanachama. Hii ni dalili tosha kuonesha ukata mkubwa ulio ndani ya timu ya Yanga.
Kwa mawazo yangu GSM wameona hawa yanga hawana ubavu wa kutangaza bidhaa zao za magodoro, wameona wapige kolabo na timu zongine kama Azam fc, Namungo FC nk.
Kusema kweli tangu nizaliwe sijawahi kuona timu inadhaminia na kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa magodoro. Kama kuna mtu hapa anyoshe kidole anitajie timu nyingine tofauti na hizi za hapa Tanzania mdhamini wake anauza magodoro.
Tabia ya kuomba omba imekuwa ni jadi ya yanga, kwa sasa wamekuja na kisingizio cha kujiunga. Uanachama gani wa sh. 29,000? Hili ni bakuli la kisasa. Wameshindwa kutengeneza pesa kupitia magodoro sasa wameanza kuwanyanyasa watanzania
Yangu ni hayo tu.
Linapigwa boli makolo wanateseka 😆😆😆Walibwino
Ujenzi wa uwanja wa simba ni Public Issue lakini mchango ni private issue. Ninaogopa kuweka muamala niliotuma hapa hamkawii kutembezea bakuli watu.Ujenzi wa uwanja Simba ni public issue, tunaomba mchango wako, changia Simba kwa mafanikio ya Simba