Mbona ni kawaida!!! kwa hao SSM!! Uliza wahindi na wafanya biashara wote wakubwa barua kama hizi wanazo!! Na baada ya kufanikisha wanaandika za shukrani!! Ofisi ya Njake wa EPA pale Mianzini zimejaa tele!! Zaidi ya 50 hivi maana ni mfadhili mkubwa wa SSM AR sema sasa wanamnin'iniza na EPA!! Sijui hakupeleka zote Mangi yule au alitoa bila kusainisha wakamkana!!!