lkn hili liwe funzo kwa wasanii wetu kwamba wakumbuke kusave tena siku hizi kuna mifuko ya bima ya afya na pia ipo ya hifadhi za jamii hivyo wajiunge nayo ili waweze kuweka fedha kwa matumizi ya baadae.
sitak kuamini kwamba kaachwa namna hii hata na taasisi ya kuzuia na kupambana na madawa ya KULEVYA??
Kitale naye apige jalamba amsaidie baba yake kimchezo jamani
sasa ni wakati wa wasanii kutambua thamani zao!!sidhani kama mzee small hakulipwa haki yake!! nampa pole sana
Huyo ni nani?
Huyo ni nani?
Anaitwa Saidi Wangamba ak.a mzee small
institution tajwa hapo juu, zimemtumia sana mzee huyu kuzalisha mamilioni ya shilling kwa matangazo yake mazuri ya kuamasisha watu kutumia azam product na posta kiujumla.
Sasa hivi, anaumwa kweli na pesa ya matibabu kwake ni shida sanaaaaa
pls wakurungezi msaidieni huyu mzee kwani kawatengenezea mipesa kibao
Huyo ni nani?
Mzee small mchekeshaji.
institution tajwa hapo juu, zimemtumia sana mzee huyu kuzalisha mamilioni ya shilling kwa matangazo yake mazuri ya kuamasisha watu kutumia azam product na posta kiujumla.
Sasa hivi, anaumwa kweli na pesa ya matibabu kwake ni shida sanaaaaa
pls wakurungezi msaidieni huyu mzee kwani kawatengenezea mipesa kibao
Kwani huyu mzee ni nani? mbona mnaleta magumashi yenu humu au mnafikiri kila mtu anashinda jf andikeni kitu kijitosheleze msitafute umaarufu wa mlio wa shilingi sio kila mtu anaujua