Bakharesa kafanya makosa makubwa sana

Bakharesa kafanya makosa makubwa sana

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
169
kaanzisha kituo cha tv kizuri sana lakini alifanya makosa kuajiri watangazaji wa mpira wa hapa nchini.
ukiwa unaangalia mpira na kuzikiliza watangazaji tofauti na mpira unavyochezwa utahisi kama unasikiliza radio.
watangazaji ndio waamuzi washika vibendera wao makamisaa wao.hapo nitamlaumu sana alieanzisha hicho kituo.inasikitisha sana
 
We mwongo name utakuwa in shabiki was Yanga make kila siku mnahangaika sana kuhusu Azam TV. Hello Azam TV keep it up. Msihangaishwe na Waswahili ambao kila siku kuponda tu
 
We mwongo name utakuwa in shabiki was Yanga make Lila siku mnahangaika sana kuhusu Azam TV. Hello Azam TV keep it up. Msihangaishwe name Waswahili ambao Lila siku kuponda turn.
Mbona sijaona sehemu mtu akijitambulisha ni shabiki wa Yanga?...

Ulivyo na chuki na Yanga mpaka kuandika unashindwa. ..name..lila...turn...Sijui lugha gani hiyo..
 
Simu nnayotumia ina English keyboard so nikijisahau turn inachukua maneno ya kiingereza. back to you concern Kuwa hajajitambulisha kuwa ni Mwanayanga no kwamba kila siku thread zinazopinga uwepo was Azam TV no Wanayanga.
 
kaanzisha kituo cha tv kizuri sana lakini alifanya makosa kuajiri watangazaji wa mpira wa hapa nchini.
ukiwa unaangalia mpira na kuzikiliza watangazaji tofauti na mpira unavyochezwa utahisi kama unasikiliza radio.
watangazaji ndio waamuzi washika vibendera wao makamisaa wao.hapo nitamlaumu sana alieanzisha hicho kituo.inasikitisha sana

Unamlaumu, Je iwapo wewe ndio ungeajiriwa hapo ungekataa? Acha majungu.
 
kaanzisha kituo cha tv kizuri sana lakini alifanya makosa kuajiri watangazaji wa mpira wa hapa nchini.
ukiwa unaangalia mpira na kuzikiliza watangazaji tofauti na mpira unavyochezwa utahisi kama unasikiliza radio.
watangazaji ndio waamuzi washika vibendera wao makamisaa wao.hapo nitamlaumu sana alieanzisha hicho kituo.inasikitisha sana
Watanzania hamkosi cha kusema angeajiri watu wa nje mngelalamika kuwa kuna watanzania wanazo sifa kama hizo amaajiri watanzania wenzake mnasema hawastahili,ww kwa maoni yako ndio unaona hivyo ila meneja muajir aliangalia vyeti akaona wanamfaa so acha kutokujiamini watanzania tunaweza endesha vyombo vyetu wenyewe kwa uweredi mkubwa tu
 
mi hapana elewa hapa na darasani sirudi!hii mutu sijui naandika nini?
 
Mleta uzi anayo hoja...mimi si mpenzi wa mpira wa miguu lakini nilifuatilia mashindano ya kombe la dunia kwa njia ya radio na kidogo runinga. Nilichojifunza:

Watangazaji wa nje wanatumia muda mwingi kutangaza mpira ulipo au unapoelekezwa, hawa wa kwetu ni masimulizi, kukosoa, kuelekeza na mengineyo...hata gori linapoingia unasikia tu gooo..."move" nzima huisikii
 
Ni kawaida kwa mtangazaji anayetangaza mpira live kupitia televisheni kutoa comments zake jinsi mpira anavyouona, na ndio maana anaitwa commentator.
Na hii ipo kwenye televisheni zote, mfano jana nilikuwa naangalia mechi kwenye la liga kati ya Real Madrid na Eibar. Dakika ya 22 Real Madrid walifunga goli na refa akalikubali, lakini watangazaji walikuwa wanasema ni off-side, na kweli walivyorudia kuonyesha goli ikaoneka wachezaji wawili wa Real walikuwa wameotea. Lakini comments za watangazaji haziwezi kubadilisha matokeo.
 
Back
Top Bottom