Huyu mdau kwa kweli nimemiss mno.Ukichunguza sana michango yake
hapa hasa jinsi alivokuwa na ufahamu wa muziki ninapata wazo kwamba
alikuwa mmoja wa wasanii maarufu hapa nchini. Kwa hali hiyo huenda yuko
kwenye misafara ya kampeni za vyama.
Wish you all the luck BAK!