Bajeti yakosolewa, wadau wasema inawaumiza walalahoi, imesahau masuala ya madeni ya taifa

Pistol

Senior Member
Oct 13, 2015
194
86
Jambo leo leo.jpg
 
Inahitaji kichwa cha mwendawazimu kusifia hili libajeti

Suala hapa ni kutaka maendeleo je tunafanyaje. Hakuna siku nchi itanedelea bila kuamua kuumia ili tuvuke. Watu hatutoi hata proposal ya kipi kifanyike.Kuanzaia maprofessor ni kulaumu bila kutoa mbadala.
 
Mtaishi kama mashetani, na sasa anaendlea kutimiza ahadi hii, kila mahali maumivu mpaka tukiingia jehanam shetani mwenyewe atushangae kwa jinsi tulivyo na uzoefu kuliko alivyotegemea kutuona tukitaabika huko.
 
Sijapata kuona bajeti inaandaliwa isikosolewe. Labda bajeti ya harusi lakini si bajeti ya nchi. Kukosolewa ni mwanzo wa kufanya vema
 
Tangu wafeli kwenye ishu ndogo tu ya sukari. Sina imani nao tena kwenye hii bajeti naona kama majanga makubwa yanakuja.
 
Back
Top Bottom