bajeti ya music wa gari

kateka

JF-Expert Member
Nov 30, 2012
577
369
Naaomba mawazo yenu nahitaji kufunga mziki wa kawaida siyo mkubwa sana but wenye sauti ya kutosha, naomba ushauri nitumie vifaa gani vya gharama nafuu?
 
Kwanza lazima ujue uzito wa gari lako namaanisha kila mziki inategemea na muundobwa gari maana unaweza kuweka mziki ukashangaa ukiongeza sauti body ndiyo inakita na siyo mziki wenyewe,hapo andaa si chini ya 300,000 uweke redio,equalizer,busta,spika
 
ok,music unaotaka wewe ni huu,,equilizer 150000,tweeter 100000,booster inategemea ila unaweza kupata kwa 160000 na angalie iwe 4channel,radio unayo?kama hauna walau andaa 300000,woofer 200000. huo ni mziki mzuri saana ambao unaweza ukatune utakavyo,upige heavy bass na super sterio au upige standard, ila kama unaweza pia nunua tu hiz woofer zenye booster ndani ni 160000 ,upate fundi mzuri wa kufunga ili upate sterio na bass nzur.
 
Mziki ulio standard kabisa bajeti ni km 1.5m hapo kila kitu ni standard kabisa sio wa kuungaunga
 
ok,music unaotaka wewe ni huu,,equilizer 150000,tweeter 100000,booster inategemea ila unaweza kupata kwa 160000 na angalie iwe 4channel,radio unayo?kama hauna walau andaa 300000,woofer 200000. huo ni mziki mzuri saana ambao unaweza ukatune utakavyo,upige heavy bass na super sterio au upige standard, ila kama unaweza pia nunua tu hiz woofer zenye booster ndani ni 160000 ,upate fundi mzuri wa kufunga ili upate sterio na bass nzur.
ahsante kwa mchanganuo mzuri
 
wadau vipi mimi nikitumia hiki kifaa kama amplifier nikaunganisha na speaker nzuri siwez kupata mziki mzuri?
upload_2017-1-19_22-57-1.png
 
ok,music unaotaka wewe ni huu,,equilizer 150000,tweeter 100000,booster inategemea ila unaweza kupata kwa 160000 na angalie iwe 4channel,radio unayo?kama hauna walau andaa 300000,woofer 200000. huo ni mziki mzuri saana ambao unaweza ukatune utakavyo,upige heavy bass na super sterio au upige standard, ila kama unaweza pia nunua tu hiz woofer zenye booster ndani ni 160000 ,upate fundi mzuri wa kufunga ili upate sterio na bass nzur.
Mkuu hizo subwoofer yenye booster ni aina (brand) gani mkuu niitafute?
 
Back
Top Bottom