Pia huwa apangiwiAmesha sema huwa anakuwa na ma frustrations yake
Alikuwa anaubip urais ukampigiaAmesha sema huwa anakuwa na ma frustrations yake
Na wewe unawaza nini?Nilikuwa najiuliza zile nchi zinazoitwa dona kantrez na kiongozi wetu uchumi wake unafananaje - ndipo nikaamua ku-google Federal Budget ya dona kantre ambaye sote tunamjua - Marekani..
And man ohh man - hawa jamaa are filthy rich - if at all rich is the right word to describe them...federal bajeti yao kwa mwaka ni USD 4 trillion....
Sasa ndo nikajiuliza....Rais wetu huwa anawaza nini anaposema nchi hii yaweza kuingia kwenye Club ya dona kantrez kama Marekani katika miaka 10 ya Urais wake??? Au pale anapojitutumua kuwatunishia misuli? Kwa tukorosho hizi kweli?
NA tusisahau Korosho tayari zinatudodea pamoja na kupeleka Jeshi😅😅
View attachment 966320
asante kijana wa ufipa kwa kupata cha kuonekana na wewe unafanya kaziNilikuwa najiuliza zile nchi zinazoitwa dona kantrez na kiongozi wetu uchumi wake unafananaje - ndipo nikaamua ku-google Federal Budget ya dona kantre ambaye sote tunamjua - Marekani..
And man ohh man - hawa jamaa are filthy rich - if at all rich is the right word to describe them...federal bajeti yao kwa mwaka ni USD 4 trillion....
Sasa ndo nikajiuliza....Rais wetu huwa anawaza nini anaposema nchi hii yaweza kuingia kwenye Club ya dona kantrez kama Marekani katika miaka 10 ya Urais wake??? Au pale anapojitutumua kuwatunishia misuli? Kwa tukorosho hizi kweli?
NA tusisahau Korosho tayari zinatudodea pamoja na kupeleka Jeshi😅😅
View attachment 966320
uingereza pia ni Donor pia China Norway Sweden nazo vipi bajeti zao ni $Trillion 4?Nilikuwa najiuliza zile nchi zinazoitwa dona kantrez na kiongozi wetu uchumi wake unafananaje - ndipo nikaamua ku-google Federal Budget ya dona kantre ambaye sote tunamjua - Marekani..
And man ohh man - hawa jamaa are filthy rich - if at all rich is the right word to describe them...federal bajeti yao kwa mwaka ni USD 4 trillion....
Sasa ndo nikajiuliza....Rais wetu huwa anawaza nini anaposema nchi hii yaweza kuingia kwenye Club ya dona kantrez kama Marekani katika miaka 10 ya Urais wake??? Au pale anapojitutumua kuwatunishia misuli? Kwa tukorosho hizi kweli?
NA tusisahau Korosho tayari zinatudodea pamoja na kupeleka Jeshi😅😅
View attachment 966320
Wale Wanaume wa ACACIA walishampa kile kishika uchumba?Ukoo wa ufipa mnatafuta kila namna ya kumponda na kumkosoa Rais wetu ilimradi tu mridhishe akili zenu,
sidhani kama kuna hotuba yoyote magufuli alijilinganisha na Marekani kiuchumi, ila nyie mnalazimisha ili mkonge nyoyo.zenu, tushawazoea hamna jema nyie wanaserengeti.
Ni fikra za kijinga kabisa kufikiria kuwa eti mali asilia ndiyo zinaweza pekee kuwafanya muwe matajiri.uingereza pia ni Donor pia China Norway Sweden nazo vipi bajeti zao ni $Trillion 4?
Kuna Vitu vingine Simple tu kudadavua! kwani Marekani alifikia vipi hiyo hatua? Tanzania tuna karibu kitu na ao madonor ndiyo wamekuja kukomba huku mara nyingi wakaenda kujiendeleza wao! Sasa kwanini tukiweza kusimamia rasimali zetu vizuri na zikanufaisha nchi yetu vya kutosha why tusiwakopeshe wengine? India mwaka huu katoa Zaidi ya billion 5 kwa Tanzania kwenye miradi ya maji amewezaje?