Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Bajeti ya Maendeleo ya 2016/2017 Chini ya CCM Mpya imechemka Serikalini imeshindwa kuitekeleza .Bajeti hiyo imetekelezwa Kwa Asilimia 34 tu.Maswali ya kujiuliza ni mengi ikiwa ni pamoja Na CCM kushindwa kuisimamia Serikali yake ili iwaletee Maendeleo wanyonge walipa Kodi wa nchi hii.