Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Bajeti ya 2016/2017 Bunge la Bajeti chini ya CCM lilipitisha bajeti ya Tirioni 29 Kwa ajili ya matumizi Na maendeleo.Imebaki miezi 3 bajeti hiyo ikamilike.Binafsi sidhani bajeti hiyo itakuwa imetekelezwa hata Kwa asilimia 50.Je tatizo ni nini?