let say labda lita 500-1000 mwenye gari lisilo na kazi nyingitoa mfano xaxa mkuu labda lita ngapi
Tatizo la watanzania ni ujuaji. Mnajaribu kudhani mnafahamu kila kitu. Acheni wenye ujuvi wao waendeshe nchi. Kwanza kwa hizo xaxa zako tu unaonyesha ni mtu wa aina gani na sina uhakika kama angalau unafahamu ulichoandika. Msipotoshe watu. Hii bajeti ni ya ukweli. Wewe huna hata gari nahisi na hufahamu watu waliweza kukwepa kwa kiasi gani. Ukinunua gari used kwa mtu Dar mpaka ujiridhishe maana unakuta hajakata RL for 7 years or more. Ni kwamba kwa sasa hukwepi. Hongera Mpango.Waanajamvi kwa bajeti hii ya mwaka huu na mwaka ujao mie sielewi kabsa saa zingine unaweza kupandwa nna hasira ukatamani heri usingekuwepo tuu ,,, mfano road licence kwa mwaka 2016/2017 ni shilingi 290,000 hapo ni 2016/2017 xaxa kwa bajeti hii ya 2017/2018 wameweka shilingi 300 kila lita sasa kwa mfano truck inatumia lita 3000 kwa mwez i inakuwa ni shilingi 900,000×12=10,800,000. co kiufupi manake raoad licence imepanda ×38 na hii inamgusa hata mtoto aliyoko tumboni ujue,,,,,,, haki ya mungu mm kesho nafuatilia zangu ripoti m'badala ya kambi ya upinzani bungeni na sifatiliii ropoti ya pili ya makinikia coz naona kama ni mbinu tu ili tusifatilie ripoti m'badala ya upinzani abayo naamini ndiyo itakayoakisi maisha halisi ya watanzania,,,, je ww mwenzangu utatega sikio wapi?
Lita 500 hadi 1000. Mnazifahamu vyema lita 1000? Gari ya matumizi ya kawaida haizidi hata lita 150 kwa mwezi kama unakaa bunju au ukonga. Labda uwe na Hammer ndiyo zungumzia lita 500 mpaka 1000. Na kama unaweza kumiliki hammer utashindwaje kumudu ongezeko la sh40 kwa mwezi?let say labda lita 500-1000 mwenye gari lisilo na kazi nyingi
Hakuna ongezeko la lita 300 ni uzushi wenu mnafanya ama kwa kujua ama kwa makusudi. Muwe mnafuatilia vitu mpaka mwisho na si kudandia katikati.1000×300=300,000×12=3 600,000 bdo hujaelewa mkuu
tunatofautianaLita 500 hadi 1000. Mnazifahamu vyema lita 1000? Gari ya matumizi ya kawaida haizidi hata lita 150 kwa mwezi kama unakaa bunju au ukonga. Labda uwe na Hammer ndiyo zungumzia lita 500 mpaka 1000. Na kama unaweza kumiliki hammer utashindwaje kumudu ongezeko la sh40 kwa mwezi?
Sio sh 300 kwa lita mkuu, ni sh 40!Waanajamvi kwa bajeti hii ya mwaka huu na mwaka ujao mie sielewi kabsa saa zingine unaweza kupandwa nna hasira ukatamani heri usingekuwepo tuu ,,, mfano road licence kwa mwaka 2016/2017 ni shilingi 290,000 hapo ni 2016/2017 xaxa kwa bajeti hii ya 2017/2018 wameweka shilingi 300 kila lita sasa kwa mfano truck inatumia lita 3000 kwa mwez i inakuwa ni shilingi 900,000×12=10,800,000. co kiufupi manake raoad licence imepanda ×38 na hii inamgusa hata mtoto aliyoko tumboni ujue,,,,,,, haki ya mungu mm kesho nafuatilia zangu ripoti m'badala ya kambi ya upinzani bungeni na sifatiliii ropoti ya pili ya makinikia coz naona kama ni mbinu tu ili tusifatilie ripoti m'badala ya upinzani abayo naamini ndiyo itakayoakisi maisha halisi ya watanzania,,,, je ww mwenzangu utatega sikio wapi?
Ahaaaa !!! xaxa pointi yako ni ipi hapo ,,, manake mbona sioni unachoeleza naona unatoa povu tu ebu toa hoja tukusikie xaxa au ndo mmeshatumwa nnTatizo la watanzania ni ujuaji. Mnajaribu kudhani mnafahamu kila kitu. Acheni wenye ujuvi wao waendeshe nchi. Kwanza kwa hizo xaxa zako tu unaonyesha ni mtu wa aina gani na sina uhakika kama angalau unafahamu ulichoandika. Msipotoshe watu. Hii bajeti ni ya ukweli. Wewe huna hata gari nahisi na hufahamu watu waliweza kukwepa kwa kiasi gani. Ukinunua gari used kwa mtu Dar mpaka ujiridhishe maana unakuta hajakata RL for 7 years or more. Ni kwamba kwa sasa hukwepi. Hongera Mpango.
Hiyo ripoti hewa ya upinzani itanisaidia nini labda??Kama kuumia nishaumia tu.Waanajamvi kwa bajeti hii ya mwaka huu na mwaka ujao mie sielewi kabsa saa zingine unaweza kupandwa nna hasira ukatamani heri usingekuwepo tuu ,,, mfano road licence kwa mwaka 2016/2017 ni shilingi 290,000 hapo ni 2016/2017 xaxa kwa bajeti hii ya 2017/2018 wameweka shilingi 300 kila lita sasa kwa mfano truck inatumia lita 3000 kwa mwez i inakuwa ni shilingi 900,000×12=10,800,000. co kiufupi manake raoad licence imepanda ×38 na hii inamgusa hata mtoto aliyoko tumboni ujue,,,,,,, haki ya mungu mm kesho nafuatilia zangu ripoti m'badala ya kambi ya upinzani bungeni na sifatiliii ropoti ya pili ya makinikia coz naona kama ni mbinu tu ili tusifatilie ripoti m'badala ya upinzani abayo naamini ndiyo itakayoakisi maisha halisi ya watanzania,,,, je ww mwenzangu utatega sikio wapi?
Kajiangalia yeye tuNa wenye magari ambayo hayatumii lita 3000 kwa mwezi je
Yeah wengine unakuta 100-500 tuKajiangalia yeye tu