Bajeti 2012/13: Serikali kuuza mashangingi yake kupunguza gharama...

Kwanini Serikali ya CCM imekuwa ikipuuza/kataa maoni mbalimbali yanayotolewa ya kuachana na matumizi ya magari haya VX's Shangingi ili kupunguza matumizi yake na walau iokoe pesa kwa ajili ya madawa na vifaa mahospitalini, mishahara na posho za walimu nk?

Je, inawezekana ni masharti ya wafadhili "in turn" tuendelee kuwa wateja wa magari yao au ni ile tu Kusikia kwa Kenge mpaka damu itoke masikioni?
 
Danganya toto, hakuna k2 kama hicho ndani ya serikali ya CCM.
Hayo magari ya kifahari, mafuta vipuri bure na allawance kila mahali ni rushwa kwa viongozi ili wanyamaze kwa vitu vinavyofanyika(ufisadi).
Leo umnyang'anye mtu landcruiser VX new model umpe Vitara au atembee na mguu itakuwaje hapo kama siyo kuanza kupayuka kwa kutoa siri jinsi wanavyoiba kitu ambacho wakuu wao hawakitaki ndiyo maana wanahongwa na mashangii+fedha
 
Back
Top Bottom