William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
FROM: Facebook: by William Malecela on Sunday, June 19, 2011 at 8:19am
@ NEW YORK: Hatimaye nimepata nafasi ya kuisoma bajeti nzima ya serikali kwa mwaka 2011/2012, na kwa kweli ninasikitishwa sana na uwezo mdogo sana wa uwajibikaji wa serikali yetu ambao chanzo chake ni uwezo mdogo sana wa uongozi walionao viongozi wetu. I mean hakuna uwajibikaji kwa viongozi wetu na vitengo vya dola ni hafifu sana na in some cases ni zero kabisa, yaani hakuna kabisaa. I mean leo Tanzania kipato cha serikali yaani taifa, 70% inategemea kodi kutoka kwa mashirika 15 tu yaliyopo nchini, meaning kwamba the rest of 30% ndio inatoka kwetu wananchi, no wonder hili taifa tunapigizana makelele tu maendeleo hamna, I mean taifa litaendelea vipi na ukusanyaji hafifu wa kodi kama huu? Malipo mengi ya watumishi wa serikali hayakatwi kodi, WHY? ni kwa sababu hili taifa tumejiaminisha siku nyingi sana kwamba we are poor na hatuwezi kujiondoa kwenye umasikini, tumeiamini serikali kutuondolea umasikini, serikali ambayo inaongozwa na sisi wenyewe ambao tulishakubali siku nyingi sana kwamba ni masikini tu ndivyo tulivyoumbwa, matokeo yake imekuwa ni National Insanity circling yaani kurudia njia zile zile kila siku kwa kutegemea matokeo tofauti.
- Miaka 50 ya Uhuru, mpaka leo bado tuna-ptoject bajeti ya taifa ambayo haifanani na kipato chetu cha taifa, tunategemea kutumia Shillingi Trillion 11, lakini uwezo wetu kitaifa ni kipato cha Shillingi Trillion 7 tu, hatuna jawabu la tutapata wapi hiyo gap ya Trillion 5, ingawa tumeruhusu kampuni kama ya Zaintel kutuchezea akili kwa kuuzwa kwa ujanja ujanja kwa Celtel and then to Airtel in the process taifa tumepoteza kodi ya karibu USD $ 312 Million, tumeruhusu Hotel ya Movenpick iliyoanza kama Sheraton, kutuchezea akili wee na kodi in the process tunapoteza kila mwaka kodi karibu USD $ 300 Million, kule kwenye madini ndiko usiseme tunapoteza karibu USD $ 800 Million kila mwaka and the list goes on and on! Sasa kwa sababu tumezoea kutafuta majibu rahisi kwa maswali magumu, tumewakalia koo Wabunge kwamba ndio wachawi wetu kwa sababu ya posho zao!
- Wabunge wanaolipwa jumla ya Shillingi Million 7 kwa mwezi, 2 zikiwa ni mishahara yao ya mwezi na Tano zikiwa ni gharama zao za usafiri na wafanyakazi wao ambao ni lazima wawe nao kwa ajili ya kuwakilisha majimbo yao ipasavyo kwenye taifa. Sasa tunalilia mbunge asilipwe tena posho ya Shillingi Elfu 70 kwa siku anapokuwa bungeni au kwenye vikao vya kibunge, tunataka atumie hela za msahahara wake, yaani ule wa Shillingi Millioni 2. Mbunge akae bungeni ashiriki vikao 73 vya bajeti, akilipia shillingi Elfu 50 kwa siku kwa malazi tu, vikao 73 ni sawa na miezi miwili, sasa jumlisha utapata Mshahara wa Shillingi Millioni 4 na gharama ya malazi tu kwa kipindi kizima cha bajeti ni karibu nusu ya hizo hela zake za ujira, na tunaambiwa kwamba hii ndio inaweza kutusaidia taifa kuokoa hela nyingi sana za kuweza kuliendeleza hili taifa!, hebu angalia hela tunazopoteza kwenye kodi ya madini kila mwaka ni karibu mara 10 ya posho ya wabunge inayoliliwa sana kwamba ndio tatizo letu la taifa!
- Ni kama taifa la wendawazimu flani hivi, maana hata huwezi kusema ni walevi kwa sababu mlevi akiamka asubuhi huwa anakuwa mzima na productive tena, sisi taifa tupo pale pale tunazunguka tu kama taili la gari, na wale wasomi wetu ndio bure kabisaa, mijina mikubwa lakini hakuna faida yoyote kwa taifa. Bunge limejaa ma-Doctor, Wanasheria, Wahandisi, mpaka Wachumi, lakini mpaka leo umeme hakuna, ujanja ujanja tu na ujinga ujinga na kutafuta majibu rahisi rahisi ndio vimetutawala hili taifa!
IT IS ABOUT TIME SASA TUKAFUTA VYAMA VYOTE VYA SIASA HILI TAIFA, TUANZE UPYA!
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William Malecela @ New York City; USA.
kwani waliotufikisha hapo si ni pamoja na baba yako john samwel malecela na CCM yake

Mkuu hapo unazungumzia chama twawala ndio walio tufikisha hapa na wewe ukiwa miongoni mwao unabaki kulalama, hatua gani umechukua? Hivi hufuatilii yanayojiri bungeni? Posho zinazozungumziwa ni sitting alowances si pesa za kujikimu, na baya zaidi anaejiita mtoto wa mkulima anasema haziepukiki ni za kuwapa ombaomba wanaokaa nje ya milango ya bunge. Hebu angalia bajeti ya upinzani, nayo ni kama ulivyoona ya chama twawala? Tupe fikra yako ktk vyanzo vipya vya mapato.
- Yale yale ya Territory tena! ha! ha! ha! karibu sana mkuu yaani majibu rashisi kwa maswali magumu sana!
Willie @ NYC, USA.
wewe ni mtoto wa kufikia wa mzee JSM.
akili zako ndogo sana.
wewe ni mtoto wa kufikia wa JSM.
akili zako ndogo sana.
mimi nadhani kabla ya kufanya chochote katika nchi hii kwa sasa kitu cha kwanza ni katiba,
pili mfumo wa utawala wa nchi yetu ujulikane na viongozi wawe wana wajibika moja kwa moja kwa
wananchi na sio mtu aliyewateuwa,
baada ya hapo tuifute CCM kungoa mzizi wa fitina na wanachama wake wasajili chama kinachoeleweka
huu utakuwa mwanzo mzuri.
ila katiba kwanza la sivyo tutaatamia mayai ya mbuni
kuna kitu lazima watanzania tutambue kwamba viongozi wa nchi yetu wametawala vibaya wanafuja mali na kufanya kizazi cha tanzania masikini na kisha wao wanatumia pesa za wizi walizopata kusomesha watoto wao kwenye nchi zenye kiwango kikubwa cha elimu na kisha kuwatafutia kazi kwenye mashirika yaliyoteka mali za taifa letu. na kulazimisha taifa kuwa la kifalme. kisha watoto wao wakitaka kuingia kwenye siasa wanajifanya wao ni wapinzani wakubwa wa mfumo uliokuwa madarakani na kanuni za uongozi wa wakati huo na kisha kurithi madaraka ya wazazi wao- Yale yale ya Territory tena! ha! ha! ha! karibu sana mkuu yaani majibu rashisi kwa maswali magumu sana!
Willie @ NYC, USA.
FROM: Facebook: by William Malecela on Sunday, June 19, 2011 at 8:19am
@ NEW YORK: Hatimaye nimepata nafasi ya kuisoma bajeti nzima ya serikali kwa mwaka 2011/2012, na kwa kweli ninasikitishwa sana na uwezo mdogo sana wa uwajibikaji wa serikali yetu ambao chanzo chake ni uwezo mdogo sana wa uongozi walionao viongozi wetu. I mean hakuna uwajibikaji kwa viongozi wetu na vitengo vya dola ni hafifu sana na in some cases ni zero kabisa, yaani hakuna kabisaa. I mean leo Tanzania kipato cha serikali yaani taifa, 70% inategemea kodi kutoka kwa mashirika 15 tu yaliyopo nchini, meaning kwamba the rest of 30% ndio inatoka kwetu wananchi, no wonder hili taifa tunapigizana makelele tu maendeleo hamna, I mean taifa litaendelea vipi na ukusanyaji hafifu wa kodi kama huu? Malipo mengi ya watumishi wa serikali hayakatwi kodi, WHY? ni kwa sababu hili taifa tumejiaminisha siku nyingi sana kwamba we are poor na hatuwezi kujiondoa kwenye umasikini, tumeiamini serikali kutuondolea umasikini, serikali ambayo inaongozwa na sisi wenyewe ambao tulishakubali siku nyingi sana kwamba ni masikini tu ndivyo tulivyoumbwa, matokeo yake imekuwa ni National Insanity circling yaani kurudia njia zile zile kila siku kwa kutegemea matokeo tofauti.
- Miaka 50 ya Uhuru, mpaka leo bado tuna-ptoject bajeti ya taifa ambayo haifanani na kipato chetu cha taifa, tunategemea kutumia Shillingi Trillion 11, lakini uwezo wetu kitaifa ni kipato cha Shillingi Trillion 7 tu, hatuna jawabu la tutapata wapi hiyo gap ya Trillion 5, ingawa tumeruhusu kampuni kama ya Zaintel kutuchezea akili kwa kuuzwa kwa ujanja ujanja kwa Celtel and then to Airtel in the process taifa tumepoteza kodi ya karibu USD $ 312 Million, tumeruhusu Hotel ya Movenpick iliyoanza kama Sheraton, kutuchezea akili wee na kodi in the process tunapoteza kila mwaka kodi karibu USD $ 300 Million, kule kwenye madini ndiko usiseme tunapoteza karibu USD $ 800 Million kila mwaka and the list goes on and on! Sasa kwa sababu tumezoea kutafuta majibu rahisi kwa maswali magumu, tumewakalia koo Wabunge kwamba ndio wachawi wetu kwa sababu ya posho zao!
- Wabunge wanaolipwa jumla ya Shillingi Million 7 kwa mwezi, 2 zikiwa ni mishahara yao ya mwezi na Tano zikiwa ni gharama zao za usafiri na wafanyakazi wao ambao ni lazima wawe nao kwa ajili ya kuwakilisha majimbo yao ipasavyo kwenye taifa. Sasa tunalilia mbunge asilipwe tena posho ya Shillingi Elfu 70 kwa siku anapokuwa bungeni au kwenye vikao vya kibunge, tunataka atumie hela za msahahara wake, yaani ule wa Shillingi Millioni 2. Mbunge akae bungeni ashiriki vikao 73 vya bajeti, akilipia shillingi Elfu 50 kwa siku kwa malazi tu, vikao 73 ni sawa na miezi miwili, sasa jumlisha utapata Mshahara wa Shillingi Millioni 4 na gharama ya malazi tu kwa kipindi kizima cha bajeti ni karibu nusu ya hizo hela zake za ujira, na tunaambiwa kwamba hii ndio inaweza kutusaidia taifa kuokoa hela nyingi sana za kuweza kuliendeleza hili taifa!, hebu angalia hela tunazopoteza kwenye kodi ya madini kila mwaka ni karibu mara 10 ya posho ya wabunge inayoliliwa sana kwamba ndio tatizo letu la taifa!
- Ni kama taifa la wendawazimu flani hivi, maana hata huwezi kusema ni walevi kwa sababu mlevi akiamka asubuhi huwa anakuwa mzima na productive tena, sisi taifa tupo pale pale tunazunguka tu kama taili la gari, na wale wasomi wetu ndio bure kabisaa, mijina mikubwa lakini hakuna faida yoyote kwa taifa. Bunge limejaa ma-Doctor, Wanasheria, Wahandisi, mpaka Wachumi, lakini mpaka leo umeme hakuna, ujanja ujanja tu na ujinga ujinga na kutafuta majibu rahisi rahisi ndio vimetutawala hili taifa!
IT IS ABOUT TIME SASA TUKAFUTA VYAMA VYOTE VYA SIASA HILI TAIFA, TUANZE UPYA!
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William Malecela @ New York City; USA.
japo jamaa ni muongea pumba lakini sio fair kurushia mawe familia yake kila siku
tujenge nchi bila chuki hii sasa ina kera
naanza kuna unyama kulika umakini wa wanajiita wapambanaji
ina maana wewe makosa ya familia yako yote umehukumiwa kwayo?
tumpe break ni mtanzania kama sisi hapa ni hoja kwa hoja wewe chakachua hoja yake hapo juu
- Mkuu kwenye uwajibikaji ni zero kabisaa, na nani wa kushikia kengele mwenziwe awajibike hili taifa?
Willie @ NYC, USA.
Well mie sina tatizo kama hayo makampuni yanalipa kodi maana ndio hali halisi ya Tanzania. Lakini pia ukweli ni kwamba, kodi ambayo ingewezwa kukusanywa kama serikali ingeamua kuwajibika ipasavyo ni zaidi ya hiyo bajeti. Kuna misamaha ya ajabu saana inaendelea. kwa hilo la serikali kutokulipa kodi, inategemea na idara. Baadhi ya Taasisi za serikali wanakatwa kodi katika kila unachokijua.- Nimesoma bajeti zote, sioni uwajibikaji na infact ni incompetence at its best, bajeti ya upinzani wanadai tutumie hela zaidi ambazo hawana majibu zitatoka wapi, bajeti zote mbili hakuna mikakati mizito ya namna ya kukusanya kodi ambao ndio hasa tatizo tulilonalo,
- Wewe unawezaje kuendesha taifa kwa kutegema 70% ya kodi za taifa kutoka makampuni 15 tu, wakati taifa lina makampuni zaidi ya 500, ndio maana Rostam anakuwa jerui sana maana ni makampuni yake yanayolipa sana kodi kwa taifa! Halafu malipo mengi ya watumishi wa serikali hayakatwi kodi, that is insane!
Willie @ NYC, USA.
Swali la jibu lako ni rahisi saana, tatizo ni weak institutions. Yaani poor enforcement kuanzia kwa taasisi zote zinahusika;mahakama; mamlaka ya kodi; police na hata bunge. Haya ndiyo yanasababisha hata supervision ambayo ndio kazi kubwa ya bunge inakuwa haieleweki. Unaweza kushangaa sasa hivi agenda kubwa ni allowances lakini kuna mengi saana wabunge hawahoji aidha kwa makusudi au kutokana na uwezo wao wa kutambua.- The big question hapa ni kwa nini hili taifa hatulipi kodi? Kwa nini hatupendi kukusanya kodi? bila kulipa kodi hili taifa tutaendelea kupigizana kelele mpaka mwisho wa Dunia na hakuna lolote la maana litakalofanyika, hata Mwalimu alilisema sana hili mwishoni mwa maisha yake kwamba taifa lisilo kusanya kodi haliwezi kwenda popote kimaendeleo!
Willie @ NYC, USA.