Mkuu Zamaulid nadhani hoja yako haijafanyiwa utafiti wa kutosha.naam,longi time!si unaona hata namba yake yenyewe, ATC litakuwa mali ya shirika la ndege la tanzania!!!
Inawezekana mwenye Bajaj ameliweka njiani ili jamaa akaligonga aharibu gari la kijerumani..Huko kwenye uvungu wa engine mbona kuna kama pipa hivi?.......... :A S 39::A S 39::A S 39:
Mkuu mwanza ni kunusa,route za dar-songea unapanga safari saa4,saa 6 unasepa saa 3 usiku uko songea
mafuta inakula fresh,rough road iko strong,haijawahi kufunguliwa engine,mileage elf 90.
Unauza nin mkuu?maana naona umelipa sifa zake kabisa!
Mkuu uza bajaji moja na wala hununui single wiper ya benzi hilo!!!!!hiyo bajaj ni ghali kuliko huo mfupa
Modification ya sump protection, na ndio maana inaelekea bado linatamba barabarani hata baada ya miaka kumi bongo!Huko kwenye uvungu wa engine mbona kuna kama pipa hivi?.......... :A S 39::A S 39::A S 39: