Bajaji aina Mpya yawasili Bongo

Nathani hiyo sehemu ya juu ni mapambo tu!
 
mmhhh..................mbona sioni ngazi?!?!?
 
mmhhh..................mbona sioni ngazi?!?!?

Ngazi za kazi gani wakati huko juu mnawatupia watoto wenu ninyi raha starehe mnaendelea na safari yenu hapo chini. Hiyo ni mchuma wa familia. Sasa ukutane na kitoto kitundu mpo safarini kinatoa kichwa nje halafu kinawachungulia kwa chini bye dady! by mummy!
 
photoshop FAIL!! atapandaje juu bila ngazi, mbona hamna kizuizi akianguka jee?
 
Boflo, ukifanya photoshop jaribu kuwa na uhalisia kidogo.
Sasa huko nyuma, ghorofa ya chini, hilo turubai ndilo linabeba uzito wa kibajaji ghorofa?
Sehemu ya chini nyuma haina turubai kama tulizozizoea, angalia vizuri utaona turubai lipo sehemu ya juu tu.
 
Hii bongo haifai kabsaaaa, tutapoteza ndugu zetu daily
 
Naona wanataka kuleta maafa zaidi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…