Zile Bajaj- Gari ni.khero mnoo,yani kama Jenereta la Mreno.
Huku posta zikipit kila mtu anaziba maskio.
Zile ni uchafu.kuliko uliopo dampo la Pugu.
Note:-
.bhakhresa hajabagua mtu,kila kazi ina watu wa asili flani,mbona ukienda kwenye mabucha unakuta watu toka pande flani za nchi,Jeshi nalo ni pande flani,madaktari etc..inategemea na na nani kaomba kazi wapi!
Wamasai kibao wanasuk rasta wadada zetu kwenye saluni za mwenge,Mbona hulalamiki hiyo ajira ya saluni.ni ya upendeleo kwa Wamasai?
Wakongo wapo saluni za kike na wanajichubua mda wote,je unaweza ukachukua mwanaume wa Kikurya akae pahala afanyie mtu masaji!
Hoja ya ubaguzi ni dhaifu!