nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
Biashara za Kinondoni za madege yasiyoliwa marufuku Dar.Nimevumilia, nimeona ni shee na nyie kuhusu bajaj hii ya maajabu,inatumia lita moja kwa kilomita 40,inasemekana aliyei modify yupo mwananyamala
kwa maelezo zaidi ni pm
View attachment 878495
Nitumie Namba zake awe ananiwaisha kazini
Salaaaalee!!. Mungu kaumbahalafu haili mafuta mengi kwa hiyo ni cheaper kuliko maelezo
Mgundi ndio kijiwe au sio?mgundi wake upo wapi ?
Nimevumilia, nimeona ni shee na nyie kuhusu bajaj hii ya maajabu,inatumia lita moja kwa kilomita 40,inasemekana aliyei modify yupo mwananyamala
kwa maelezo zaidi ni pm
View attachment 878495
Harafu mimi ni mgonjwa wa bajaji kama hizo.Halafu hiyo bajaj inaonekana ina tela kubwa sana kwakweli