Habari,
Wanajamii nlikua nataka kununua Bajaj mpya ila nataka kulipa kwa Instalments,kwanza naanza kwa 2Million then laki 5 kila mwezi mpaka deni linaisha.ila nahitaji Bajaj mpya.
Subiria misheni Town wafike nyumbani, sasa hivi wataanza kukurubuni! kwanini usiende Physically dukani na kumwimbisha tajiri? naamini watakuelewa kwani biashara sasa hivi ni ngumu sana
Kaka wazo lako ni zuri na ntafurahi zaidi ukinipa taarifa ya eneo ambalo wanauza Bajaj ili nikaangaikie na Bei ya mpya ni ile ile 5Million au kuna mabadiliko?