Bajaj inauzwa shs mil 2 tu

Bajaj inauzwa shs mil 2 tu

KOMWAA

Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
20
Reaction score
2
Bajaj 2 stroke inauzwaa imetumika lkn ipo ktk hali nzuri rangi yake ni blue,kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane haraka namba 0715 751515 au 0713 705360
 
weka picha mkuu. na sababu ya kuiuza. na iko wapi. imetembea km ngapi. na inatumia dizeli au petroli? ina reverse gear? honi inafanya kazi? ina tairi ya spea? bima? road license? ishagonga?
 
Back
Top Bottom