Janja PORI JF-Expert Member Joined Jul 31, 2011 Posts 825 Reaction score 247 Feb 10, 2015 #1 Salamu wakuu Bajaji hapo kwa picha inauzwa bei ya Tsh 4.6 million Negotiable. imetumika miezi 9 tu, sababu ya kuuza ni dreva wangu amepata ajira kampuni za magari staki kutafuta dreva mwingne. nicheki PM kwa anayetaka Attachments 20150210_163517.jpg 43.6 KB · Views: 204 20150210_163526.jpg 54.9 KB · Views: 182 20150210_163534.jpg 47.4 KB · Views: 165
Salamu wakuu Bajaji hapo kwa picha inauzwa bei ya Tsh 4.6 million Negotiable. imetumika miezi 9 tu, sababu ya kuuza ni dreva wangu amepata ajira kampuni za magari staki kutafuta dreva mwingne. nicheki PM kwa anayetaka
P panyarodi Senior Member Joined Aug 15, 2014 Posts 156 Reaction score 52 Feb 11, 2015 #2 Mkuu hiyo siyo BAJAJ hiyo inaitwa TVS KING ni aina mbili tofauti za pikipiki ya miguu mitatu.