Mbnative JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 332 Reaction score 77 Aug 15, 2015 #1 Nahitaji bajaj ya kununua iwe nzuri engine na body pia..hata bei isiwe ya kukimbizana. Weka picha na bei.
Nahitaji bajaj ya kununua iwe nzuri engine na body pia..hata bei isiwe ya kukimbizana. Weka picha na bei.
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,943 Reaction score 808 Aug 16, 2015 #2 Ipo TVs nataka 3.5m tuu