Bahati nasibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bahati nasibu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAKA A TAIFA, Jun 2, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kama mwenye dowans ,meremeta.kagoda,tangold,ricmond,hawajulikani nadhani hata kujivua gamba ni haina maana.kama kaiba ,mfano epa unamwambia rudisha pesa mapema hutashitakiwa na inakuwa hivyo.inasikitisha wananchi wanaozunguka hifadhi za taifa mfano akikutwa anawinda /ameua swala kwa maana ya kupata kitoweo anashitakiwa kwa kukutwa na nyara za serikali na hukumu haicheleweshwi.hapa kuna usawa.tafakari chukua hatua
   
Loading...