Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Apr 14, 2010 #1 Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili. Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi
Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili. Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi
Mwana wa Mungu JF-Expert Member Joined Aug 14, 2008 Posts 1,003 Reaction score 85 Apr 14, 2010 #2 Mungu amsaidie.
Teamo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 12,271 Reaction score 1,065 Apr 14, 2010 #3 Bujibuji said: Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili. Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi Click to expand... we jamaa bana! hivi wewe ni mhaya?
Bujibuji said: Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili. Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi Click to expand... we jamaa bana! hivi wewe ni mhaya?
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Apr 14, 2010 #4 jamani kama ni kweli mwenyezi mungu amponye haraka katika ugonjwa .. Du mwimbaji wangu kipenzi katika nyimbo za injili
jamani kama ni kweli mwenyezi mungu amponye haraka katika ugonjwa .. Du mwimbaji wangu kipenzi katika nyimbo za injili
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Apr 14, 2010 Thread starter #5 Kwani wahaya ndio wapenzi wa muziki wa injili? Tena wakikusikia walima wakupopoe kama maembe mtini. geoff said: we jamaa bana! Hivi wewe ni mhaya? Click to expand...
Kwani wahaya ndio wapenzi wa muziki wa injili? Tena wakikusikia walima wakupopoe kama maembe mtini. geoff said: we jamaa bana! Hivi wewe ni mhaya? Click to expand...
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Apr 14, 2010 #6 Bujibuji said: Kwani wahaya ndio wapenzi wa muziki wa injili? Tena wakikusikia walima wakupopoe kama maembe mtini. Click to expand... hahahaha
Bujibuji said: Kwani wahaya ndio wapenzi wa muziki wa injili? Tena wakikusikia walima wakupopoe kama maembe mtini. Click to expand... hahahaha
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,158 Apr 14, 2010 #7 Duh... Mungu amtie nguvu...
Nyange JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 3,517 Reaction score 1,869 Apr 14, 2010 #8 Kwa Yesu sio tambalale, hata Musa alipata chamoto kwenye safari ya kanani, hivo hayo ndo maisha, atapona tu
Kwa Yesu sio tambalale, hata Musa alipata chamoto kwenye safari ya kanani, hivo hayo ndo maisha, atapona tu
J Joyceline JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 1,010 Reaction score 169 Apr 23, 2010 #9 Bujibuji said: Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili. Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi Click to expand... si kweli wiki iliyopita nilimuona, viwanja vya Tanganyika pakers jtano anarekodi video na afya yake ni nzuri sana, wala alikuwa haumwi
Bujibuji said: Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili. Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi Click to expand... si kweli wiki iliyopita nilimuona, viwanja vya Tanganyika pakers jtano anarekodi video na afya yake ni nzuri sana, wala alikuwa haumwi
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 86 Apr 23, 2010 #10 Bujibuji said: Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili. Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi Click to expand... anahitaji maombi yako popote ulipo.....get well soon woman of God....
Bujibuji said: Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili. Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi Click to expand... anahitaji maombi yako popote ulipo.....get well soon woman of God....
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Apr 23, 2010 #11 Pape said: anahitaji maombi yako popote ulipo.....get well soon woman of God.... Click to expand... kwani bado mgonjwa jamani??
Pape said: anahitaji maombi yako popote ulipo.....get well soon woman of God.... Click to expand... kwani bado mgonjwa jamani??