Bahasha imefichwa

mama lowasa (first lady) akikabidhiwa box la zawadi na bahasha ya risala .

Mleta maada usipotoshe huyo sio samia
 
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu, kuna watu kwao bahasha ni kila kitu kwa hiyo kila jambo anawaza bahasha tu....
 
CCM ni Chama cha Majinga
Ukiangalia hyo picha Mke wa Lowasa ameshika Box, haiwezekani ashike Box na kutoa hela hapo hapo.... hapo yeye ndo anapewa kila kitu... afu pia Mke wa Lowasa hawezi toa Rushwa
 
Umemfananisha na Samia yule mgawa rushwa kweupe na kuangaliwa na takukuru bila hata kumkemea?
 
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu, kuna watu kwao bahasha ni kila kitu kwa hiyo kila jambo anawaza bahasha tu....

ndo mchezo wao ndo maana akiona bahasha akili inafyatuka tu ni pesa

​
 
Duuuuuh ni kweli mama lowassa hapo hakupiga mahesabu vizuri maana kama alitaka kufanya ulaghai kama ilivyo desturi ya mumewe angemuuliza lowassa mbinu ambazo huwa anatumia​
 
na huyu mama anaonekana kuwa msanii zaid na amerithishwa mila za kihuni na kiwizi kama alivo mzee

Acha roho mbaya we polepole, subiri tukujengee mazingira ya kupata ARVs za bei nafuu usogeze siku.
 
wanziz mnajuana
Unamaanisha nini na wewe? Ina maana na Eddo ni mzinzi? Watu wengine bwana. Kama huna la kusema si afadhali tu ukajikalia kimya and let them keep on guessing kama uko jiniazi ama la?
 
Kaazi kweli kweli
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…