jamaa mmoja alijifanya baharia akawaambia watu aisee nimezunguka bandari zote duniani China na Africa yote
ulaya marekani akaulizwa kwahiyo unaijua sana geografia jamaa akajibu pale geografia tulikaa wikimoja ila sikuteremka melini nilikuwa naumwa