Bahari na Mto kip zaid?

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Dunian kuna mambo,hv kat ya mto unaomwaka maji ziwani,na bahar kip zaid?Anaetetea mto akasema kwamba mto 7babu unamwaga mwaka mzima na kama bahari ingekua inamwaga inkua imeisha.
So wamekuja kwangu nwape jbu.Mie nmewaambia kabla cjawajbu ngoja nweke mada hii kwa wa2 wa jf,maana hao ndio w2 wenye mawazo kulko wa fb.
Washaulin.
 
Back
Top Bottom