Kiasili mimi ni mtu wa kaskazini mwa Tanzania,tena kule milimani.
Sijawahi kuvuta bangi wala sitakuja kuvuta bangi kwa uwezo wa Mola mlezi,muweza wa yote.
Kuhusu urojo,nimekunywa mara mbili tu na si zaidi katika maisha yangu,ni katika vyakula bora mno.
Bahari imechafuka.