X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,794
- 15,025
Salimia babu zako...watu tumepita tokea 70Da mm nmepita hapo advance 2014-2016
Salimia babu zako...watu tumepita tokea 70Da mm nmepita hapo advance 2014-2016
Ww ni abdul? Ulikia Hgl na ulikua unakaa sana msikitinNILIKUWA SIJUI KAMA NI SHULE PEKEE INAYOMILIKI BEACH, JAPO NAJAUA INAMILIKI BEACH. NILIKUWA HAPO A-LEVEL 2005-2007
Ile vita ilikuwa hatarii,,tuliwachapa sana madogo wa O'levelSiwezi sahau vurugu zilizokwenda kwa jina la tano-sita baga sec 2008
mkuu ww n mchaga wa rombo bila shakawewe ni mkongwe. Mazengo alikuwa HM wangu adv. 2003-05