Masseto
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 1,594
- 3,114
Jana nilitazama kipindi cha mswahili wasafi tv nikaona hii habari ya makumbusho ya BADEKO uko BAGAMOYO, ndani ya jengo wakaonesha kuna kabati kubwa kiasi au MONEY SAFE lenye uzani wa tani 3 na halikuwai kufunguliwa kwa miaka zaidi ya 100 na inasemwa kuwa kuna madini.
ivi ni kweli tumeshindwa ata kutumia gesi tukalikata au tunasubiri adi hao vitukuu vya wajerumani waje wachukue mali zao ambazo wamechimba kwenye ardhi yetu kisha wasepe zao,
ivi ingekuwa mwafrika alitawala uko ulaya alaf akaacha kitu kama icho wazungu wangemsubir mwenye mali yake mwafrika adi arudi achukue.
kisingizio eti ni steel na wamehangaika sana na hawajafanikiwa kulivunja, huu ni upuuzi tunauacha utajiri sabab ya kuwaheshimu wazungu. this is nonsense adi jamaa anahakikisha kwamba humo kuna MADINI ila tunalishangaa shangaa tu kama picha