Mnakumbuka embe ng'ong'o zile ambazo kokwa lake lina miiba, mafenesi, madansi ( ile jamii ya machungwa makubwa ka kichwa cha mtoto). Mawazo Potofu tuliyojijengea ni kuwa sasa hivi kula hayo ni ushamba bwana watu wanywa juice ya pakiti, burger, ice cream etc.
It is obvious huwezi kuwa kwenye benzi ukaanza kula mabungo mafenesi and other traditional fruits.
Jiulize nani anakula miwa siku hizi, viazi vya kuchoma, ndizi za kuchoma ( wale wanaoenda bar wanabahati kupata hizo), Kisamvu, mboga za majani ya maharagwe au kunde. Kuna togwa, ufuta, kashata hakuna nutritionist afanye tafrija ya vyakula asili vya kitanzania.
Ngambongali je unakula songwa, mangubwisi na ndilolo? nimefikiria you should know what ndilolo is given your name?
Huu nao utumwa sasa, gari umeinunua wewe halafu bado inakupangia masharti ya nini ule au husile ukiwa ndani yake?It is obvious huwezi kuwa kwenye benzi ukaanza kula mabungo mafenesi and other traditional fruits.
Labda kama hujafika kyela mkuu, nimeogopa kutaja matunda ya kikwetu kwa kuogopa ukabila, kwa kiswahili ndilolo ni zeituni au?
Kuna matunda yanaitwa fulu
Hapana ndilolo kwa kiswahili ni Mafura fruits, zeituni kwa kiingereza ni Olives. Kwa lugha kilatin inayotumika sana kwenye masomo ya biology, mafura ni Trichilia Emetica.
Taja tu jina kwa lugha yoyote mkuu, hakuna cha ukabila wala nini, si aina zote za vyakula zina majina ya Kiswahili au Kiingereza. Vingine hata majina ya Kilatini inabidi kulazimisha tu!!Labda kama hujafika kyela mkuu, nimeogopa kutaja matunda ya kikwetu kwa kuogopa ukabila, kwa kiswahili ndilolo ni zeituni au?
Kuna matunda yanaitwa fulu
Mnakumbuka embe ng'ong'o zile ambazo kokwa lake lina miiba, mafenesi, madansi ( ile jamii ya machungwa makubwa ka kichwa cha mtoto). Mawazo Potofu tuliyojijengea ni kuwa sasa hivi kula hayo ni ushamba bwana watu wanywa juice ya pakiti, burger, ice cream etc.
It is obvious huwezi kuwa kwenye benzi ukaanza kula mabungo mafenesi and other traditional fruits.
Jiulize nani anakula miwa siku hizi, viazi vya kuchoma, ndizi za kuchoma ( wale wanaoenda bar wanabahati kupata hizo), Kisamvu, mboga za majani ya maharagwe au kunde. Kuna togwa, ufuta, kashata hakuna nutritionist afanye tafrija ya vyakula asili vya kitanzania.
hii inafanana na 'vitoe'. Nakumbuka nilipokuwa naendaga kuwinda sungura nilikuwa nakula sana....😛ound:
Taja tu jina kwa lugha yoyote mkuu, hakuna cha ukabila wala nini, si aina zote za vyakula zina majina ya Kiswahili au Kiingereza. Vingine hata majina ya Kilatini inabidi kulazimisha tu!!
Asante mkuu ngoja nikumbuke majina mengine ya matunda ya zamani,
Ngambo, sentensi yako jinsi ulivyoiweka hapo imekaa kiutata, kumbe unaelezea tu tabia za watu na si wewe unayefanya hivyo.
Huu nao utumwa sasa, gari umeinunua wewe halafu bado inakupangia masharti ya nini ule au husile ukiwa ndani yake?
Hili tunda linaitwa ZaituniX-Paster na WanaJF wenzangu, iwapo zeituni/mizeutuni inaitwa olives, je tunda lifuatalo linaitwa nini kwa Kiswahili?:
au
Thread reference: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...iumbe-hai-wadudu-wanyama-ndege-mimea-n-k.html
misasasti-kama inalevya vileubuyu, misasasti, matowo ( mitowo) mbula, mikusu, zambarau na misada.
Oh my childhood, I used to live in Kuboma then, every time I went to aga khan hospital I will go by soko la zamani and buy me some fulu ( mifudu) or misaada.
Na hujala peaches kama hujala dabaga peacheas
Arooo
umenikumbusha enzi za kutumia manati na kuwinda joroe
makamilwa . jili ni tunda pori -fimbo ya mkamilwa ilikuwa na sifa ya kutokavunjika. walimu wakali enzi zile au mtoto mtukutu lazima upewe corpoal punishment ya mkamilwa
Mazambarau= matunda matamu ila miti yake ndo ilikuwa inaongoza kufanya watoto wa kiume wa primary ufungwe pop kwa sana sababu ilikuwa inateleza na tunadondoka
Mapera= Haya sifa yake unajua ukienda haja kubwa mbegu zinatoka live. wataalamu wa biolojia sijui wanaitaje huu msambazo wa mbegu.
Matope tope- Jamii ya mastafeli na mafenesi . hayana utamuuuuuu sana kama mastafeli . yenyewe ladha yake waweza kusema ni flat lakini ni mazuri
Nina hakika baadhi ya mataunda yako kwenye extinction. Inabidi kuwepo na porgram maalum ya kuyapreserve japo kwa maeneo machache.