Bado watu hawajajua moto wa NCCR

tulijua watu watajichanganya sana.
vyama vyote vikaa kuwaza upande wa mashariki mwa tanzania kama sehemu ya kuanzia harakati za mageuzi.lakini sisi tunaanzia magharibi.wakati nyinyi mnalala sisi tunawaangalia.hatimae tumeikamata kigoma,Ngara.sasa tunasonga kuja mashariki.tunaomba njia.mipango yetu ya kwanza ilikua samwel Ruhuza aka SAM ashinde jimbo la Ngara lakini Ntukamazina akachakachua.sasa hivi tunalenga kusini.kusini,sikia tunakuja sasa,2015 PATACHIMBIKA.roger.

Hivi Igunga iko upande gani, mashariki au magharibi?
 
Mkuu I swear,NCCR ilikuwa 1995 na Mrema,mrema mwenyewe mchoma mahidi wa ccm,sasa hivi nye na mbatia wenu mmebaki kama wabeba mzoga wa fisi na hata hamjui mtauzika wapi huo mzoga
 
sisi hatuongei sana.ni vitendo tu.ninawaangalia mnavyojitapa hapa nacheka sana.sisi hua tunalenga hatuchukui makapi.na tunaongea kwa kujiamia
:kafurila njoo huku
:mkosamali kuya.
Nyie mnabaki mnalalama.na moto tutakao wawashia safari hii mtatamani kulia.tunataka kuita tena watu wawili.nyie kaeni nmaongea wenzenu tunayeya.moto wayaka.roger
 
sisi hatuongei sana.ni vitendo tu.ninawaangalia mnavyojitapa hapa nacheka sana.sisi hua tunalenga hatuchukui makapi.na tunaongea kwa kujiamia
:kafurila njoo huku
:mkosamali kuya.
Nyie mnabaki mnalalama.na moto tutakao wawashia safari hii mtatamani kulia.tunataka kuita tena watu wawili.nyie kaeni nmaongea wenzenu tunayeya.moto wayaka.roger
 
tulijua watu watajichanganya sana.
vyama vyote vikaa kuwaza upande wa mashariki mwa tanzania kama sehemu ya kuanzia harakati za mageuzi.lakini sisi tunaanzia magharibi.wakati nyinyi mnalala sisi tunawaangalia.hatimae tumeikamata kigoma,Ngara.sasa tunasonga kuja mashariki.tunaomba njia.mipango yetu ya kwanza ilikua samwel Ruhuza aka SAM ashinde jimbo la Ngara lakini Ntukamazina akachakachua.sasa hivi tunalenga kusini.kusini,sikia tunakuja sasa,2015 PATACHIMBIKA.roger.
Dah mahesabu yenu makali sana na ndio maana kila uchaguzi hesabu ya wabunge wenu waliochaguliwa hushuka!...
 
Kama hawa huwataki /hawana umuhimu humu JF kwa kuwa wamejiunga hivi karibuni na hoja zao kuwa nyepesi (Kwa mtazamo wako) wewe usinge comment/ama kuisoma .Unachotaka kusema ni kuwa hoja unazotaka kuzisoma na kuchangia ni zile zinazokufurahisha na zisizopingana na unavyofikiri .Hizo ndio ziwe zinaletwa humu JF!?.
Kuna thread m oja nimei-post hapa JF kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko,nikasema wanachama wanaojiunga sasa hapa JF tena kwa kasi walioanza wakati wa uchaguzi wa Igunga na mpaka sasa wengi wao ni janga kwa hii forum na mbaya zaidi kwa Taifa..Na sababu zangu zakusema hivi moja ya sababu nyingi nilizonazo ni hoja zao nyepesi na zisizo na tija,nimepata misukosuko kuwa mimi ni mbinafsi napinga watu wasijiunge hapa JF...........Haya ona hoja ya huyu jamaa aliyejiunga mwezi wa kumi....
 
Back
Top Bottom