Bado unasema David Moyes ni kocha asiefaa?

Bado unasema David Moyes ni kocha asiefaa?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,631
Rekodi ya DM kwa michezo yake 16 ya kwanza msimu huu.

Kapoteza 3
Katoa sare 3
Kashinda 10
Kikombe 1 = Ngao ya hisani.

Mourinho:

Mechi 16.
Kapoteza 3
Katoa sare 3
Kashinda 10
Kikombe 0.
NB. Mechi ya Supper cup tumeweka sare kwa kuwa alishindwa kwa penati na Bayern.

Wenger:

Mechi 15.
Kapoteza 3
Katoa sare 1
Kashinda 11
Kikombe = 0.

Rogers:

Mechi 11.
Kapoteza 3
Katoa sare 2
Kashinda 6
Kikombe = 0.

Bado unasema DM ni kocha asiefaa?
 
Bado sana..kwenye makocha bora wa mwezi kwenye ligi wanaowania taji hilo kwa mwezi wa 10(Oktoba) ni: Jose Mourinho na Wenger..

Kuhusu Moyes tazama yuko nafasi ya ngapi kwenye ligi.
Kuhusu Champions league..kundi la Manchester halina jambo lolote la maana.
 
Unfortunately amechukua Mauricio Pochettino,

Ni shabiki wa Manchester United no matter results, lakini kwa suala la DM kuwa viwango vya United bado nasubiri ani-prove wrong....Mwaka huu sijaweka hope ya Ku-achieve chochote, lakini kama DM anaweza kujipanga na kumudu "demands" za club kubwa kama United that will be great of him

Kwa mbali naona naona legacy ya Scourses aka "Looserpool" inanukia Old Trafford....God Forbid
 
Wewe shabiki andazi....

Huwezi toa jumuisho kama hilo hapo mwisho kwa kuzingatia mechi 10 za DM

Legacy ipi ya Liverpool?! Yes, they have been poor in EPL, but they have won UCL, UEFA Cup, FA Cup and the League Cup.

United is in good position; just 3 points from the 2nd and 3rd teams! Top of the UCL group. Into the quarters of the League Cup; and still in the FA Cup.

So what is that tarradiddle?
 
Back
Top Bottom