CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,958
- 9,517
Mkuu hili unaweza chimba mwebyewe yaani kwa kutumia vibarua then ukanunua nyloni na kuweka chini. Nyloni ndo inauzwani watu gani wanshusika na uchimbaji wa haya mabwawa,naomba mawasiliano nao nifanye nao kazi
Una washwa washwa wewe, umejoin Jumatatu unaanza na Udaku? So disgusting
nakushukuru kwa hii taarifa,bila shaka nailon shurti uweke order kiwandani kulingana na ukubwa wa bwawa lakoMkuu hili unaweza chimba mwebyewe yaani kwa kutumia vibarua then ukanunua nyloni na kuweka chini. Nyloni ndo inauzwa
zipo hizo mkuu kuna njia ya kuwziweka.nakushukuru kwa hii taarifa,bila shaka nailon shurti uweke order kiwandani kulingana na ukubwa wa bwawa lako
Sio za Order zipo Kwa Arusha zipo sana ila sijajua kwa Darnakushukuru kwa hii taarifa,bila shaka nailon shurti uweke order kiwandani kulingana na ukubwa wa bwawa lako
nimekupm mkuu hujaiona?Sio za Order zipo Kwa Arusha zipo sana ila sijajua kwa Dar