Afu wewe kila siku unatangaza nafasi za kazi hutaji kampuni au shirika gani,kazi yako kusema tunahitaji watu haraka!
Ulishawahi kuhitaji waendesha makatapila,wapishi,mastore keepers,mkuu wa chuo,sijui nan..sasa ukiunganisha dots unagundua kua wewe ni tapeli tu kwakua hueleweki na unataka Ku chezea cv za watu na kufanyia utapeli.
Ndugu zangu kuweni makini na majitu ya namna hii.