Hili la Dowans kulipwa si ajabu, kwani mangapi yamefanyika? watanzania ni wapole na wakarimu sana hawana tatizo hata kidogo na mtu ilimradi wapewe ahadi ya maisha bora.
'Hata nchi ikiuzwa! hiyo kwao sio ishu limradi hawasikii mirio ya risasi(utulivu na amani)''
'Mungu ibariki nchi hii na watu wake'