Bado ninakukumbuka Rose


Mapenzi yanawatesaga sana mnaoyawaza..huyo dogo unaemwongelea anafariki sisi tunamwona..aligongwa na gari akiwa na boyfriend wake bahati mbaya yule boyfriend kilimwokoa aliruka mapema kwenye boda..pole sana mkuu..alitupa huzuni sana iringa
 
Pole sana kaka. I feel your pain .alishawahi kufanya kazi kwenye kampuni moja hapa mwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…