Kazi ya m-pesa Kivule uwe na wazamini wawili barua ya serikali ya mtaa wako pia wazamini wako.Habari zenu wakuu bado natafuta kazi nina uzoefu wa kazi zifuatazo duka la dawa nina cheti cha addo, duka la kawaida,M~pesa,kazi ya mgahawa isiyo ya kutembea kutafuta wateja,naweza kupika,kuhudumia na kuwa cashier,nitafanya yoyote itakayo patikana kati ya Hizo,aliye serious mawasiliano 0745047876,naishi Mbagala.
100,000/= Kwa mwezi.Kazi ya m-pesa Kivule uwe na wazamini wawili barua ya serikali ya mtaa wako pia wazamini wako.
Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Sasa unasubiri nn kuhamia karibu na chakula kilipo, hilo nalo unasubiri tukuambie-?Tatizo ni mbali na ninapoishi nauli juu yangu mshahara wote utaishia ktk nauli [emoji22]
Wazo zuri nimelipenda ila eneo nililopo kwa hiyo biashara Haifai labda nibuni biashara nyinginefanya mpango ujiajiri mdogo wangu,, pika hata chapati alafu watu watakuja kununua tu, bado binti mdogo,,
mtaji wa chapati hauzidi hata elf 20000, ongea na dada yako akupatie