Queen sasha
Member
- Nov 9, 2016
- 17
- 18
Habari wanaJf Mimi ni msichana miaka 25 ninaelimu ya diploma natafuta kazi yoyote itakayonipatia kipato halali naishi Dodoma.Mimi ni binti mwaminifu na mungu ni shahidi juu ya hilo.naomba kazi yoyote kama
kuuza duka la bidhaa zozote jumla au rejareja
Supermarket,sheli au duka la vipodozi
Naimani nitapata msaada juu ya hili
kuuza duka la bidhaa zozote jumla au rejareja
Supermarket,sheli au duka la vipodozi
Naimani nitapata msaada juu ya hili