Bado nampenda sana japo hakuwa mwaminifu kwenye mahusiano yetu

Duh mkuu pole ila mbona unatafuta aman wakat wa vita...? Kwa tatzo hili ipo siku litakucost in your life so be a man and walk away
 
Tumekua na mahusiano mazuri na mpenzi wangu kwa muda wa miezi mitano wiki iliyopita nikapata habari kwamba anatembea na mwanaume mwingine, nilipombana sana akakiri kuwa ni kweli bado nampenda sana, je ni sms gani nzuri naweza mtumia ikamfanya abadilishe mawazo na kurudi kwangu tena?
Boya nimejiona mimi
 
Hakuna kitu cha Kijinga mwanaume anaweza fanya chini ya Jua kama kujaribu kumrudisha mwanamke aliekuachaa...! Labda mkeo lakini sio mpenzi...Piga chini huyo anza upyaaa
 
Mwambie
Ampe sumu huyo ya panya au nyoka mpaka afe,kisha atakuja kwako!!!!

arghhhhhh...

Back
Top Bottom