Mkienda huko chemba kushauriana iwe kwa hela au mkopo, naandama peke yangu toka chalinze hadi magogoni.
mshana jr anajua alichokifanya kwangu yeye na Asprin na Honey Faith
Hivi unajua nakusubiria PM?
Hahahahaaaa kanifananisha kabisa nakuapia mi sitaki bifu kabisa na kile kibabu nilichofanya mimi ni kumtahadharisha kuwa vibabu vinakuwa na tendency ya kuugua tezi dume
Sikupendi tena kama zamani.Ha haa haa!! umefika kumuokoa mshana jr kijasho kilimtoka mwenzio. mimi bado nipo pm na partner, kwa hiyo acha usumbufu, nishakutajia wanaohitaji tiba zako zilizo expire. ha haaa haa!!!!!
View attachment 225489
Sikupendi tena kama zamani.
Thats my girl.... Hebu kuja pande hii chap chap sana...Utanipenda tu, mimi na wewe hata hofu sina
Thats my girl.... Hebu kuja pande hii chap chap sana...
Unaenda kumuona wapi?????Ha ha haa haa!!!!! Asprin kha!!! Nakuja sasa hivi Aisee.
Afu weweee kwani kibando chako kinaisha lini?? Umeweka cha wiki??
We si unachepuka na Honey Faith?? Unafikiri hatujui?Afu weweee kwani kibando chako kinaisha lini?? Umeweka cha wiki??
Unaenda kumuona wapi???
Yaani hapa nakimbia hadi basi,sitaki kuchezea nafasi hii, huyo utafiti nimemuacha hukooooo, kwanza sitaki hata kumsikia tena, baby si unajua anatoka na [B miss neddy [/B]mi simtaki tenaaaaaa, kwanza bahili.
cc Apologise ladyBado sijaona tatizo la kuchepuka