Kwema Wadau
Katika hali ya kawaida ukimuita rafiki yako kichaa wangu inamaanisha ni rafiki wa kweli lakini kwa kauli hii aliyoitoa huyu Mkuu wetu wa nchi bado inanitatiza maana anasema aliamua amtafute waziri wenye ukichaa kichaa kama yeye ndiyo akampatia hicho cheo sasa kama Rais anaukichaa na sisi wananchi ni wazima kweli tunakubali kuongozwa na kichaa au ndo mimi sijamuelewa