Bado naishangaa (admire) Urusi

Wote hao mjue ndo magwiji ya intelijensia duniani, na kwasababu wanautafuta ukubwa wa dunia inawalazimu kuimarisha kila siku uwezo wao wa kiintelijensia, wakati wa USSR russia aliwekeza sana, alikuwa na maelfu ya watu kila mahali duniani, walibuni na kuvumbua technolojia kubwa za kwenye maswala ya intelijensia, kuanguka kwa USSR ndo kulirudisha nyuma juhudi na harakati za russia kiintelijensia, lakini hawakupoteza uwezo wao wote...mpaka sasa wanajijenga tena kwa kasi ya ajabu,marekani kwasababu hajapitia misukosuko kama russia yeye hajateteleka na yuko mbali..lakini linapofika suala la wao wawili russia anammudu marekani na marekani qnammudu russia
 
Mmarekani anaongoza kelele za kwenye media tu ila si ujasusi, ingia mtandaoni tafuta list zote za vyanzo vya kuaminika. ISI ndiyo namba moja.
Mitandaoni kuna source genuine na fake za kupata information, unajuaje kama hata hizo info fake za mitandoni walio behind yake ni haohao CIA?
Na mambo ya intelligence yanaendeshwa kwa usiri mkubwa na important ni budget ya kuendeshea mambo hayo, US is far far ahead kwenye tasnia mkuu
 
Hebu ilete source genuine ambayo inaonesha CIA anacontrol mitandao na pia anaongoza. Kama operation za ISI nishakuwekea hapo juu toka Wikipedia.

Hiyo mitandao huyo CIA angekuwa anaongoza angeshashika hackers wote wa system yao waliyokuwa wakipekua taarifa watakavyo
 
Nadhani nawajua wamarekani zaidi kwa kusoma literature nyingi kuwahusu, siwezi danganyika na links za mitandao ianayoo nyesha ISI ni superior kwa CIA na MOSSAD
Hebu nitajie Oparation tatu zilizokua accomplished na hao ISI
 
Ukisoma hiyo source ISI wanafanya joint na CIA. INTER!
 
ISI walikuwa wanashirikiana sana na CIA,has a kipindi soviet union ilipoiingia Afaghnistan,hawa ISI ndo wakipikea fund na silaha toka marekani kisha wanawatrain mujahidina akina bin laden na kuwapa silaha za kupambana na mrusi,kila kitu toka marekani kilipita mikononi mwa ISI,lengo likiwa kumtepetesha mrusi kiuchumi na kijeshi kwa kufanya ukaliaji wake afaghnistan use wa gharama kubwa
 
Kazi ya kukamata hacker ni ya NSA,hilo dubwsha ni noumer,mawasiliano yote ya electronics mfano simu,telefax,email etc,hawa watu wanavuna information,dunia mzima,server zao ni kubwa mno,mahekali
 
Kama hujui kuna Taarifa nyingine zinazo dukuliwa ni chambo tu! Huwezi kumpata samaki bila mtego na chambo!!
 
Kazi ya kukamata hacker ni ya NSA,hilo dubwsha ni noumer,mawasiliano yote ya electronics mfano simu,telefax,email etc,hawa watu wanavuna information,dunia mzima,server zao ni kubwa mno,mahekali
Hadi kudukuliwa FBI na CIA wanashughulika wao? Maana kuna watu wanadukua system za hiyo mitandao kama kumeza maji na hawajashilwa

NSA kuna mahacker tu wa mtaani wamewashinda
 
Ambacho urusi hawakiwezi ni intelijensia ya uchumi ila kiulinzi wanaongoza duniani. Marekani anaujua uchumi na sera zake za kibepari ndo zinamfanya aitawale Dunia. Ila intelijensia ya ulinzi nchi zote zinatambaa kwa mrusi.
 
Hadi kudukuliwa FBI na CIA wanashughulika wao? Maana kuna watu wanadukua system za hiyo mitandao kama kumeza maji na hawajashilwa

NSA kuna mahacker tu wa mtaani wamewashinda
Inategemea umehack nini,maana unaweza kuhack,then wao wakatengua,vile vile wanakupata wakiamua kukutafuta.
Wana server zao kwa ulinganishi zinahifadhi data za kutosha DVD billion 250.
Hawa ndo the most secretive intelligence agency katika marekani na INA bajeti kubwa kuliko hats CIA
 
Kuna conspiracy theorise katika literature za hao wamarekani kwenye vitabu vyao kadhaa kuhusu mambo ya espionage kwamba kuwapunguzia bajet hawa jamaa wa NS
 
Kuna conspiracy theories katika literature zao wenyewe Wamarekani ukisoma vitabu vya espionage kwamba NSA wakipunguziwa bajeti wanaweza wakaandaa tukio la ajabu kuhusu usalama ili wanasiasa wasiiguse proposal ya basiti yao
 
Propaganda ina nafasi kubwa sana katika mataifa makubwa. Naam, mada nzuri sana. Ila kiujumla, inaonyesha Russia wako vizuri sana. Maana kuanzishwa kwa NATO kulilenga kuzuia uwezo wa Russia ....kwenye mambo kama hayo. Nchi zaidi ya 20, dhidi ya nchi moja? Kama mtoa mada alivyonena, bila Shaka kuna mengi mno...tusiyoyajua.
 
Umenikumbusha mkuu kuna ile protocol inaitwa Warsaw Pack nadhani iliundwa ku counter NATO sijui kama bado ina exist....mwenye information naomba utufahamishe.
Sema Propaganda machinery ya Western iko very powerful and effective kama usemavyo mkuu
 
Naomba na mimi nichangie kidogo katika hii mada japo kaujuzi kangu ni kadogo

Tukianza na ISI

Hii inaweza kuwa the best or sio the best in the world kwasababu kuu zifuatazo
Mpaka sasa kwenye medani ya ujasusi sidhani kama kuna scale maalumu inayotumika kutambua nani bingwa na nani sio bingwa kama ilivyokuwa kwenye mpira, uchumi, maendeleo na mambo mengine yenye mizani
Kwa kutumia midhani chache tu unaweza kutambua kuwa world scale bado inayumba
kwa mfano.
kwenye nyanja za teknologia nadhani CIA hainaubishi inaongoza
kwa ukatiri ni FSB
Kwa ufanikishaji bila makele MI6
Kwa kufanikisha kupangua njama za maadui Mossad
Kutokutabirika na kutokuosomeka na wapinzani wake ni ISI

Sasa najikita kidogo kwanini takwimu nyingi zina weka pakistani juu ya hata mossad,cia N.K
Kulingana na kufanikisha, mazingira iliyopo nchi na hata ukubwa wa uchumi na maadui wanayoizunguuka ni ISI inapewa crediti nyingi.
wanasema ISI inatengeme vitu vikuu vitatu kuwashinda maadui na vyo ni unpredictability, ruthlessness and a lack of transparency hhivivitu vimeiwezesha ISI ku triumph in whatever it is tasked to do.

Unpredictability inachangiwa na mfumo wake. Director General always ni military man na ni Lieutenant General from the Pakistan Army. Huoongoza only kwa miaka 3 basi na lazima apishe mwingine ashike nafasi hiyo. Huyu D.G anaongoza division kadhaa amabazo yeye binafsi ndo anazijua the lest hawajuani na hawajui wenzao wako wapi na wanafanya nini. Kingine pakistani ina mchanganyiko wa waarabu na wahidi na wachina kitu kinachosaidia kufanya infiltration. Kikubwa zaidi nikuwa ISI ni part of military institution so unaweza kuona utofauti hapo.

Matukio makuu yanayo ifanya ISI kuogopewa ni uwezowake wa kumplant Abdul Qadeer Khan in Netherland akiwa kama research scientist katika chuo cha Amsterdam kumbe ametumwa kuiba teknolojia ya atomic bomb. Agent wote duniani hawakuweza kung'amua hilo mpaka pale pakistani ilipo test the first atomic bomb CIA walishangazwa sana.

In the year 2008 mwezi wa 11 tarehe 26 walifanikisha Mumbai attacks na kushangaza Indian Int. services.

Kitu kingine kikubwa kinacho wapa sifa ni uwezo waliouonyesha kwa kumficha Osama na Mullah Mohamed Omary for more than decade huku MI6,CIA na Mossad wakishirikiana kuwatafuta. Baada ya muda ISI ilimtoa kafara Osama kwa pesa za kutosha toka CIA.

Kingine kinachofanya western media kuwapa credit ISI ni uwezo wa kutrain terrosist group around the world bila kuacha finger prints zao. Mfano wa magroup hayo ni Lashkar-e-Taiba, Hizbul Mujahideen, Jaish-e-Mohammed, Haqqani network and others.

Kingine kikubwa ni uwezo walioonyesha kipindi cha SOVIET AFGHAN WAR kwakumsaidia mullar omary kuchukua nchi bila US-CIA kujua.

Lastly ISI operate under kivuli cha dini so ningumusana ku-infiltrate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…